Leta ushahidi hapa, isije ikawa porojo tu hapaYanatumika vibanda vya chips

Serious nakuambia muuza chips wa hapa kwetu anatumia makaa ya maweLeta ushahidi hapa, isije ikawa porojo tu hapa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kumbe tatizo ni vyombo kushindwa kuhimili joto, vipi hakuna sababu nyingine inayowafanya wayafiche fiche?Bado hatuna ujuzi kamili wa kutengeneza sufuria zitakazo himili mikiki ya makaa ya mawe
Mmmmmh!Serious nakuambia muuza chips wa hapa kwetu anatumia makaa ya mawe
chai hiyoYanatumika vibanda vya chips
KweliMmmmmh!
Niambie kwenu wapi nije nihakikishe huyo muuza chips anayetumia makaa ya mawe!Kweli
Serious nakuambia muuza chips wa hapa kwetu anatumia makaa ya mawe
acha kamba mkuu.Kwa mtogoleNiambie kwenu wapi nije nihakikishe huyo muuza chips anayetumia makaa ya mawe!
Nitakuja!Kwa mtogole
Ngoja kesho nawapostia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
acha kamba mkuu.