Kwanini MAISHA ya sasa yamepoteza ladha tofauti na zamani

Kwanini MAISHA ya sasa yamepoteza ladha tofauti na zamani

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,636
Reaction score
81,533
Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless.

Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k

Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have funny kila mwisho wa mwaka n.k

Ila Maisha ya sasa kama yamepoteza ladha kuanzia katika Maisha halisi ya mtaani hadi mitandaoni.

Yaani kila ukihitaji kuufurahia wakati you have to back in past.

Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k

Watu wanamiliki kila kitu Ila hawana furaha , wapo na Psychomotor impairment

People are so greed now.

The old is gold forever.

🎶Jackson Allan "Remember when"
 
Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so test less

Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k

Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have funny kila mwisho wa mwaka n.k

Ila Maisha ya sasa kama yamepoteza ladha kuanzia katika Maisha halisi ya mtaani hadi mitandaoni.

Yaani kila ukihitaji kufurahia wakati you have to back in past.

Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k

Watu wanamiliki kila kitu Ila hawana furaha , wapo na Psychomotor impairmen

People are so greed now.

The old is gold forever.

🎶Jackson Allan "Remember when"
Una dalili zote za kujinyonga ww”

Jitahidi kutafuta purpose of your life”
Utaona vitu vina radha tena
 
Hio inatokana na vitu ulivyokuwa unapambania kwenye maisha kama ulikuwa unapambania sana hela na kupuuzia kutengenez miunganiko mingine ya Kwenye maisha kama urafiki na undugu wa kutembeleana kujuliana Hali lazma ikutokee kitu kama hiko

Ukija na kwenye entertainment huku ubunifu umepungua kwa kiasi kikubwa kwa watu walio kwenye hizo sekta

Chamsingi Cha kushauri ni kuishi kwa kufanya kila kitu kwa kiasi sio unawekeza muda na akili zote kwenye kutafuta hela mwisho wa siku unakosa watu wakula nao
 
When you use 100% of your brain ,nakuunga mkono kwa sasa mambo yamekuwa hovyo sana.

Kwanza ,tunasettle kutafuta vitu vingi ,havina hata umuhimu ..watu wamekuwa wabinafsi sana , umaskini umeongezeka ,watu wanadhalilika na dunia; kuna dada zenu wanatembea uchi kabisa ,wanajiuza wengine ili wapate pesa.
 
Maisha yamebadilika sana, upo sahihi kwa hilo.
Kwa huko naona ndio mmeanza hivi karibuni ila baadhi ya nchi walibadilika zamani sana.

Mila, desturi, upendo yote hayo hurithishwa ila siku hizi mambo yamebadilika sana.

Nilitembelea nchi moja mashariki ya Kati, kwa kuwa niliiona wakati bado watu wanajuana kwa majina.

Basi nilipoenda tena nikakuta nchi imebadilika sana na miji imejengeka sana
Nikakutana na bibi mmoja nikasalimiana nae na kumwambia nchi imebadilika sana

Akaniambia we mwanangu Acha tu
Zama zimebadilika sana majirani na ndugu wote wameukimbia mji kwa sababu ya mabadiliko tusiyoyazoea
Zamani tulikuwa tunasaidiana na kujuana wote hata salt kuombana.

Ila leo hata ndugu tunasalimiana kwa simu tu wala hatuonani.
Yale maisha ya kutembeleana tuliyorithi hakuna tena.

Ni kweli maisha yamebadilika ila ndio hivyo tena, ukitaka raha sasa jipe mwenyewe.
Tembelea vivutia au nenda nje kajionee dunia
 
It's because of the fast paced life, always about the next best thing. Two seconds later it's out of date.

Everything is getting further detached from its true nature, thanks to technology and the devil's end times master deception: There is No God.

This decay has been accelerating in these last days as it was prophecied, until The Great Reset, The End, The Day Of The Lord arrives and resets everything to perfection.

"the creation looks forward to the day when it will join God’s children in glorious freedom from death and decay."
rom.8.21.NLT
 
Bila kusahau Pilau la christmass,lilikua na utamu WA kipekee Sana!
Hata kachumbari ikikatwa ilikua inanukia tofauti yani ukikaa pembeni lazma mate yajae mdomoni, lakini sahivi waaapi.....

Ukila huo ubwabwa unabaki na kazi ya kuwanusisha watu mikono tu kwa ushahidi, ila sahivi wala mikono hainukii tena
 
Back
Top Bottom