Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
Mahakamani kuna kuapa kwa kutumia vitabu vya kidini, kama huna dini au mpagani Kuapa unanyoosha mkono juu.
Hata viongozi wa kiserikali kuapishwa lazima kutumia vitabu vitakatifu kama Quran au Biblia.
Kama uchunguzi unafanyika kwa kutumia intelijensia(polisi,ushahidi,mahakama),kwanini uchunguzi na ushahidi usifanyike bila kiapo?mtu anaweza akawa mhusika halisi kwenye tuhuma,anaweza kuapa na kesi anashinda,viongozi wanaweza kuapa kwa kutumia vitabu vya kidini na wakafanya yaliyo kinyume na katiba.
Naomba kujua kiapo inasaidia nini wakati sheria zipo na uchunguzi upo?