Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,680
Ngoja waje
Umesahau ndo wanaongoza kwa umalaya Dunia nzima.Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana halafu si mmoja ni wote, wanajua vitu vingi sana, taarifa mbalimbali za kila nyanja wanazo. Ni watu wapelelezi na wadadisi ndio maana wana fahamu mambo mengi sana yanayoendelea kila kona . wanashangaza sana ni tofauti sana na watu wa taaluma nyingine. Hawa jamaa wapo vizuri kila sekta
1. Mambo ya siasa wanayajua na wanafuatilia, wanajua viongozi tofauti na taaluma nyingine kuna dokta nilimuuliza mkuu wa police na mkuu wa wilaya wa mkoa wako ni nani hakujua lakini dereva anajua majina yote
2. Mambo ya mpira wa nje na ndani nchi wapo vizuri
3. Habari za udaku na wanamuziki wapo vizuri wanamjua hadi tunda. Diamond etc
4. Mambo ya biashara wanajua
5. Sekta ya elimu wanaijua. Na kuzitambua shule bora
6. Nchi wanaifahamu vizuri
7. Mambo madogo madogo ya ujenzi. Ufundi, ubora wa vitu etc
8 mambo ya dini na viongozi wa dini wanawajua
9. Waganga wachawi
10. Ukiwa na shida yeyote madereva wanakuwaga na konection za kukusaidia
Madereva nimewavulia kofia, hawa watu ni nomaa
Alikuwa anakojolea "infront of kadamnasi:?Hiyo numbers 9; Dereva wetu ofisini alikuwa hang'oi gari bila kwanza kukojolea tairi za mbele
hahahahahMadereva Wakongwe Kuanzia 1986 Tukutane Huku Kuna Mjadala Unatuhusu
Si wote, huo utafiti labda uliufanya kwa madereva wa madalala, na mabasi, hao karibu kila siku wanapambana na sirikali mabarabarani hivyo ili kuyapatia ufumbuzi matatizo yao inabidi wawe wafuatiliaji wa kila kinachojili Duniani.Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana halafu si mmoja ni wote, wanajua vitu vingi sana, taarifa mbalimbali za kila nyanja wanazo. Ni watu wapelelezi na wadadisi ndio maana wana fahamu mambo mengi sana yanayoendelea kila kona . wanashangaza sana ni tofauti sana na watu wa taaluma nyingine. Hawa jamaa wapo vizuri kila sekta