Kwanini mademu waoga kuhoji kulikoni?

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Jambo dogotu. Unaweza ukavutiwa na demu kwasana na kuamua kumtokea na kumpiga sound hadi polepole akawa anaelekea kibra. Ghafla unazipata za kiintelejesia ya kuwa kumbe ni mama huruma ambaye anagawa kwa kila rika, ukastuka na kumshiti kiaina. Utakuta anapenda tu anakutafuta lakini hata akikuona hakuulizi kuhusu yale masuala, kwanini wapate taabu hivyo?
 
Huyo hajiamini mimi nakutwanga maswali utajibu mwenyewe nikuogope wewe nani?? Baba yangu mzazi??
 
Tumeumbwa na haya,wachache wenye akili kama zangu na Dena,cha moto utakipata,nakupiga maswali unapitia dirisha la chooni kuondoka...lol
 
Tumeumbwa na haya,wachache wenye akili kama zangu na Dena,cha moto utakipata,nakupiga maswali unapitia dirisha la chooni kuondoka...lol

Michelle wewe umenichekesha kweli. Tena ataita na baba yake mzazi mimi sikuogopi bana
 
Mie kushare ngumu Michelle naogopa wivu wangu mbaya sana

Tutakuwa tunakuachia Bacha kwa siku nne za wiki,sisi tutagawana zilizobaki
Mi mwenyewe nilikuwa na sera hizo hizo za wivu,penzi nililopata wivu niliweka pembeni
Nimekubaliana na hali,mtoto wa watu kama nimezaliwa upya kwa kuridhika
Rose mwenyewe yuko na jino kwa jino,uhuru upo,sema nje huko utumie silaha za ulinzi....lol
 
Ngoja nifikirie kwanza maana mie nikipenda naingia mzima mzima miguu, mikono hadi kichwa nazama kabisa sionekani
 
wewe michelle huwa huna wivu eeeh?

Umesahau nilikuwa nao mwanzoni,baadaye ukatoweshwa na penzi nililopata.....
Sina wivu kwa kuwa unatupa haki zetu sawa,wa uswahilini na wa masaki.....lol:smile-big:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom