lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
- Thread starter
- #41
Mwanangu hii ni taaluma ngumu sana, kwanza jikinge na maralia.
sawa mkuu nimekupata
Mwanangu hii ni taaluma ngumu sana, kwanza jikinge na maralia.
mkuu kumbe mabomu noma sana
Kuna aina tofautitofauti za mabomu, mabomu mengine hata ulale au ujichimbie chini yanakushugulikia tu, labda ungecategorize kwanza aina gani za mabomu! Maana miongoni kuna mabomu ya nuclear pia ambayo hata ujichimbie chini bado hali itakua mbaya.
halafu nikishalala inakuaje mkuu
Big up sana kwa elimu murua kiongozi.Mkuu bomu hasa la kutupa kwa mkono limeundwa kwa reactors,,na reactor hizi huripuka zikiwa disturbed. Ndio maana unaichomoa firing ring/pin kisha unalitupa,likiangua reactors zinalipuka baada ya mstuko. Kwa kawaida bomu/guruneti la mkono linapopiga chini hujiinua kwa reactors na wataalamu wamenasema kwa sababu limetengenezwa kuua mtu basi hujiinua kwa umbali wa mita 1.5 feet 5+.
Bomu linapojiinua linalipuka kupasua vipande ambavyo vinaambatana na moto/baruti/nuclear kuweza kuharibu/kuteketeza lolote. Yapo mabomu ambayo huripuka mara moja,na yapo yanayoripuka zaidi ya mara moja. Yaani linaripuka kutoa vipande,na vipande hivyo huripuka hivyo hivyo na ndio ukubwa wa athari kwa bomu husika. Turudi kwenye hoja yako. Unashauriwa ulale chini sabanu bomu hujiinua linaporipuka,na kwa kawaida kama ni la kurusha basi litajiinua kuanzia mita 1 na kupasuka.
Linapopasuka vipande ndivyo vinavyokuua,vipande vinavyolipuliwa na reactors za baruti/nyuklia. Vipande hivyo ndivyo vinavyokuua maana ni zaidi ya risasi. Ukiangalia bomo/guruneti limeundwa vipande vipande kama gamba la kobe,,vile vipande vya vyuma hupasuka na kurushwa na baruti/kemikali/nyuklia na ndio silaha yenyewe. Hivyo ukilala chini vipande vina asilimia 90 za kukukosa na 10 za kukunguza tuu.
Namesikia sikia sebuleni,kuna mmoja wa wagombea ana kampani nje,ati kama akishindwa basi alianzishe na hapo ndio tutakapo yafahamu vizuri mabomu,ana fedha amepanga kuwarubuni hata bodaboda waunge mkono machafuko.nia wafadhili wake waweze kujilipa gesi gesi na ma dini dini wakati sie twa twangana.mkuu kwani hiyo miezi kuna nini?
Kaka bomu linasambaratisha maghorofa au magari utavaa nini lisikupate. Inategemeana na distance yako na lilipotua.
Labda avae ile safe yakuhifadhia pesa ndo atapona
Ni lazima ulale chini mkuu kwa maana ukilala juu utakutana nalo juu kwa juu
Labda avae ile safe yakuhifadhia pesa ndo atapona