Kwanini Mabomu yakilipuka tunatakiwa kulala chini?

Kwanini Mabomu yakilipuka tunatakiwa kulala chini?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Hivi kwanini mabomu yakilipuka watu wanaambiwa kulala chini? Kwanini watu wasikimbie au kusimama wima ili kukwepa milipuko au mbona zikilia risasi watu hawalali chini?

Jamani wataalam wa mabomu watujuze kwanini tunalala chini?
 
Search humu ndani kuna uzi unaongelea kila kitu kuhusu maswali yako.
 
Bomu hulipuka kuelekea juu(linatengeneza angle of elevation) halafu mabaki yake huanguka chini.hivyo ukiwa umesimama linaweza kukujeruhi tofauti na ukiwa umelala.
 
bomu hulipuka kuelekea juu(linatengeneza angle of elevation) halafu mabaki yake huanguka chini.hivyo ukiwa umesimama linaweza kukujeruhi tofauti na ukiwa umelala.

Hakuna tofauti kati ya bomu na vibande vyake. Lote ni bomu na ukweli ilivosema ni sawa na ukimwaga tone la maji chini kuna matone madogomadogo huruka juu katika Angle tofauti. Tunashauriwa kulala chin kwan vile vipande vya Bomu vitapishana angle na yako hivyo kunusurika.
 
Hakuna tofauti kati ya bomu na vibande vyake. Lote ni bomu na ukweli ilivosema ni sawa na ukimwaga tone la maji chini kuna matone madogomadogo huruka juu katika Angle tofauti. Tunashauriwa kulala chin kwan vile vipande vya Bomu vitapishana angle na yako hivyo kunusurika.

Kwani ukivaa nguo ngumu ngumu vitawezaje kunijeruhi?
 
Ni lazima ulale chini mkuu kwa maana ukilala juu utakutana nalo juu kwa juu
 
Bomu linapotua chini kwa kishindo au linalipuka likiwa chini husambaratika kuelekea juu baada ya umbali wa mwinuko(height) wa nusu meta hivyo ukilala chini vipande vya bomu havitakupata.
 
Ukiachilia mbali mlipuko, pia mabomu yana change kabisa atmospheric pressure so huweza sukumwa na kuanguka ukilala impact inakuwa sio kubwa pia level ya kusambaa kwa inakuwa level ya usawa wa magoti kwenda juu.

Pia jiongeze kuw upepo ulio ambatana na moto ukiwa unapuliza utasimama…? au upepo uvumao kasi kipi kitasalimika kilicho lala chini au kilichosimama kujaribu ku opose huo upepo…?
 
Mjomba hata kwenye movie huwa likilupuka wanakimbia na kulala chini! chance ya kupigwa inapungua, ukisimama upo vertical eneo la kujeruliwa linakuwa kubwa zaidi ukilinganisha na kulala chini
 
mjomba hata kwenye movie huwa likilupuka wanakimbia na kulala chini! chance ya kupigwa inapungua, ukisimama upo vertical eneo la kujeruliwa linakuwa kubwa zaidi ukilinganisha na kulala chini

je anayerusha bomu naye anatakiwa kulala chini au?
 
Back
Top Bottom