Kwanini mabinti wa kitanga wanagombaniwa?

Kwanini mabinti wa kitanga wanagombaniwa?

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
886
Reaction score
206
Wanajamvi,

Tanga ni mkoa maarufu unaosifika kuwa na mabinti bora kwa tabia na mapenzi,je kuna ukweli wa jambo hili?
 
Ah wapyyy,mi wa kusini kule juzi tu mtu 7 zimetwishana makonde kugombania...lols
 
...mnagombania nyie tu msizani kila mtu kama nyinyi...
 
nimefurahi sana Real Madrid kumchapa A. Madrid 4-1
A. Madrid walinirusha roho.....!
 
Wanagombewa na nani na wapi?Bandiko lako halijajitosheleza maana mm binafsi ndiyo kwanza nasikia kwako!Ni vyema ungeandika mbona mabinti wa ki-Tanga wanagombewa sehemu flani wana nn?

Sijawahi kuwagombea so usi tu generalize bana!
 
Wanajua kubembeleza sana , wako full genye kwa ajili ya huduma wanavisauti chochezi vya malalamiko ya mahaba.
 
Hawana lolote mbona wanaachwa na wanazalishwa km mabinti wa mikoa mingine.Mbwembwe tu hizo!
 
naishi huku ila c mzaliwa kwetu huko gesini., yan mnishushue tu lkn ndumba sana huku. Hapa majiran zangu kila mtu karoga mumewe mpk wananishauri ujinga na mie., tena kuna shoga angu mmoja huyo uwiiiiii kila ikiexpire anaenda kurenew., mume mshahara wote anampa mke. Tanga zaman cku hz hyo koz kila sehemu wanawake wamefuzu tena wana dip.,dgree na kuendelea
 
Naomba kama kuna msichana/mwanamke kutoka Tanga humu ndani awasiliane na mimi ili tuweze kufanya partnership ya kuchimba hayo madini then nitapima ili kujua ni ya ukweli au fake.
 
Back
Top Bottom