Kama kawaida tuko kwenye huu mjadala kwasababu watanzania wengi hawapendi utaratibu.
Stendi imejengwa kwa gharama kubwa, na inatumika kama chanzo cha mapato mabasi yakipakia abiria kila wanapotaka stendi itaingiza vipi mapato?
Miaka ya nyuma askari walikuwa wanakagua magari yote getini kabla ya kuanza safari za mkoa. Dereva anapimwa kama amelewa au vipi? Abiria kama wote wamekaa vizuri na kufunga mikanda. Je wakiondokea huko huo ukaguzi wa kina utafanyika wapi?
Pia palikuwa na control ya spidi unajulikana umetoka Dar saa 12:00 asubuhi ukifika Moro mapema lazima upigwe faini kwa kutembea spidi maana muda wa mabasi umekadiriwa. Hii inapelekea madereva kuendesha kwa mwendo mzuri.
Nikijaribu kutazama faida na hasara za mabasi kupakia stendi kuu naona faida ni nyingi sasa sielewi wanaopinga wanataka faida zipi?