Kwanini Lowassa anawapoteza vijana CHADEMA?

1.Mgombea wa urais wa kudumu kupitia UKAWA.
2.Mtoa pesa na mdhamini wa chama.
3.Mtu mwenye heshima na anaenyenyekewa kuliko wote CDM.
4.Mjumbe wakamati kuu CDM.

Need i say more ?

mimi naona mapovu tu hapa hana cheo chochote.
 
Jibu la mjinga ni kimya. Kwa busara na wekima alizonazo lowassa Ataka Kimya• mwisho wa siku mnamuandika tena kwa lingine # safi sana kwa style yako mheshimiwa Lowassa kimya chako kinawapa maswali mengi
 
Lowassa ndio anazunguka nchi nzima kujenga chama seriously ??
Kwani wengine wamekatazwa? Hata akijenga Lowassa wewe kinakuuma nini? Ulishasema unamchukia sana sasa hiki ulichoweka ni kinyaa tupu!!!
 
Hakushindwa uchaguzi ila Sisiem ilipora matokeo na kugeuza kibao kuwaweka ndani vijana waliokuwa wanakusanya matokeo mpaka juzi wamefuta kesi.

Msitegemee kuwa LOWASSA atakuja kuwa Rais wa nchi hii. Tafuteni mtu mwingine atakayeweza kukiwakilisha vyema chama. Akisimama Lowassa, mjue wazi kuwa mtashindwa. Lowassa tayari ameshaanza kutoa pongezi nyingi kwa mh.Rais Magufuli. Kwa hiyo image ya Chadema ndiyo hivyo inaondoka. Msemaji wa chama amebaki mtu mmoja tu Lowassa wakati kweli chama kilikuwa na vijana na wazee wengi tu wenye uwezo wa kujenga hoja na ambao walipambana hadi kuijenga Chadema kuwa imara. Tuliondoka ndani ya Chadema kutokana na ujanjaujanja wa mwenyekiti kubadiri gia angani. Tuliondoka tukiwa tumesononeka sana kutokana na ujio wa Lowassa ndani ya chama.
 
Kwani wengine wamekatazwa? Hata akijenga Lowassa wewe kinakuuma nini? Ulishasema unamchukia sana sasa hiki ulichoweka ni kinyaa tupu!!!
Sio kukatazwa tu na kufumbwa midomo ajenda kuu ni kupambana na ufisadi sasa hata wakitoka hawawezi kuiongelea.
 
Jibu la mjinga ni kimya. Kwa busara na wekima alizonazo lowassa Ataka Kimya• mwisho wa siku mnamuandika tena kwa lingine # safi sana kwa style yako mheshimiwa Lowassa kimya chako kinawapa maswali mengi
Ukimya unamaanisha uhalifu
 
utakuwa masalia ya Dr Mihogo, pole sana siasa ni kugawana
 
Sio kukatazwa tu na kufumbwa midomo ajenda kuu ni kupambana na ufisadi sasa hata wakitoka hawawezi kuiongelea.
Nani kakwambia ajenda kuu iwapasayo watanzania ni ufisadi? Watu kwa watoto wanakufa huko kwa kukosa dawa hospitali umasikini umetopea waache kuongelea hayo? Ufisadi si mlimsifu Magufuli kaumaliza sasa mnataka nini? Chama chenu ACT hamuwezi kuichukua hiyo ajenda?

Wewe kinyaa kabisa!!
 
Ufisadi ufisadi pesa zinazoliwa kupitia ufisadi zingeweza kununua dawa
 
tatizo unaleta ushabiki...unachokiandika hakiwez kuwa na maana
 
Hakushindwa uchaguzi ila Sisiem ilipora matokeo na kugeuza kibao kuwaweka ndani vijana waliokuwa wanakusanya matokeo mpaka juzi wamefuta kesi.

Nashanga bado unamawazo kama hayo sijawahi sikia mtu anashinda urais lakini anasambaratishwa kwa wabunge (67%ccm ) na kwa madiwani ( zaidi 70% ccm) .
 
Toka Jana naupita huu Uzi kumbe wa ovyo ivi??!!sijaona cha maana cha kumsema lowasa kama n mjumbe wa chama.
 
Baadhi ya mashahidi wa tuhuma dhidi yake walikwishatangulia mbele za haki sasa hapo kuna kesi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…