Kwanini Lowassa anataabika kupata wadhamini?

Kwanini Lowassa anataabika kupata wadhamini?

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,149
Nimewaona makada Wa chama John Magufuli na Wassira wamemaliza zoezi la kusaka wadhamini na kurejesha fomu.

Swali likanijinia kwanini Lowassa anastruggle kukamilisha zoezi hilo jepesi tu licha ya kuonekana ana resources za kutosha?
 
Mmmh kweli mkuu? Mi sijui mambo ya siasa lakini Lowasa si ndio anapata wadhamini hamsini elfu mikoani huko na hao uliowataja wanapata elfu mbili-mbili?
 
Nimewaona makada Wa chama john magufuli na wassira wamemaliza zoezi la kusaka wadhamini na kurejesha fomu.Swali likanijinia kwanini lowassa anastruggle kukamilisha zoezi hilo jepesi tu licha ya kuonekana ana resources za kutosha?
Hebe hilo swali muulize mumeo chumbani
 
Au mwenzetu pamoja na kusaka wadhamini pia anakagua miradi ya maendeleo?
 
Nimewaona makada Wa chama John Magufuli na Wassira wamemaliza zoezi la kusaka wadhamini na kurejesha fomu.

Swali likanijinia kwanini Lowassa anastruggle kukamilisha zoezi hilo jepesi tu licha ya kuonekana ana resources za kutosha?

Unajua maana ya Struggle?
 
Na anaweza kuwa wamwisho kuzirudisha ili jina na vuguvugu libaki hadi watu wanaingia kujadili
 
Kwann na nyie hamuishi kumtaja Lowassa kila uchao,au ni mwiba kwenu
he show them na bado DSM Kitanuka
attachment.php
 
Attachments

  • E LOWASSA.jpg
    E LOWASSA.jpg
    22.5 KB · Views: 627
Mmmh kweli mkuu? Mi sijui mambo ya siasa lakini Lowasa si ndio anapata wadhamini hamsini elfu mikoani huko na hao uliowataja wanapata elfu mbili-mbili?
Mnachanganya mambo,wadhamini wanaotakiwa ni 30 tu kwa kila mkoa!
 
wengine wambetenea mikoa15 tu sasa yey anazunguka mikoa yote
 
Huyo mgombea mwingine yuko kwenye kampeni tayari na tume ya uchaguzi kwasababu ni wakuwekwa (yaani hawako kikazi) tu hawatamuuliza
 
Back
Top Bottom