Kwanini Lissu, anang'aa hivi?

Mi naamini mtu
Mmimi naamini MTU yeyote mwenye character(msimamo) na principles lazima mbele za watu atawavutia kwa sababu ana misimamo lakini zaidi ni iwapo ni kweli amewahi kuwatetea kisheria makundi flani ya kijamii bila malipo. Hii pia iliwahi kutokea kwa prof Shivji alipomtetea mbuge mama Weja dhidi ya Kitwana Kondo jimbo LA ilala. Lakini TALissu hana mikashifa ya hovyo kama ss wegine.Mambo haya yanaweza kuwa ndiyo kivutio kwa wengi.
 
Ngazi aliyopo katika chama cha freemason ndiyo inayomngarisha ila atathibitishwa endapo akimwaga damu ya watu 3k , amejiunga marekani baada ya kutaka kuonesha nia ya kugombea urais ndio maana anajiamini sana wanamlinda hao mashetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…