Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,751
- 15,545
Sijajua kwako wewe mtu wa karibu sana ni nani, lakini wapo ndugu, mke, mama, baba, kaka, dada wametuzunguka.
Kwanini nasema Kijana ni lazima kuowa ? kwasababu binadamu tunategemeana..
Kabla ya Kuwa kwenye mahusiano kuna maisha ya single na ndugu zako wengine Uliishi nao vipi ??
Inakuja hatua unataka Mpenzi, kwa lengo lipi ?? Hapa ndio vijana tunafeli na kujikuta kwenye dimbwi la kataa ndoa.
Umeshindwa kumpata taila mwenzio huko au umenafikiwa huko kama wewe ulivyo mnafiki then unarudi na kelele za kataa ndoa sijui ni utapeli. wewe kama wamekuzidi akili useme tu.
Kwanza usiingie kwenye ndoa na Mwanamke kisa uzuri wake wa Muonekano na sauti ya mahaba
Kidume ni unakula wote, mie manzi awe na shepu asiwe na shepu, awe mweusi awe mweupe mie nakula tu, hisia zipo za kutosha. 😁
Awe mfupi awe tall fuleshi tu, ila kuna sababu zangu zingine tu ambazo zitanifanya kati ya wafupi kumi au weusi watano nimchukue yupi..
Aisee nimekumbuka kuna Manzi chuo alukuaga black na Meno ya kungua kidogo, weee Yule dada Disko zikipigwa bolingo utampenda. Pisi moja matata. Imesoma smart, heshima kama yote.
So, color doesn't matter to us.
Demu yoyote mie nadate nae cha msingi tu awe na hela.
Hela zenyewe ni zipi.. nakujuza.
Misssion.
Why nitaowa kwasababu nina mission yangu ambayo naitaji awepo mwanamke pembeni yangu bampa tu bampa,
mbali na umuhimu wa kuwa nataka kuacha mbegu makini sana hapa duniani kwa kutengeneza familia Yenge nguvu na maono,
Huyu mwanamke namuhitaji sana akili yake na mikono yake, ukiolewa na mm kazi ni kila siku, utampeleka hata baba yangu hospital akiumwa na kumfatilia anaendeleaje,
Kunipikia, mshahara wa beki tatu nitampa mke akitaka,
kwahiyo thamani yake ndio itampa nafasi ya kula vyangu na mimi kula vyake.
Huwezi kutoa kitu ambacho hauna, Kama ndani Yako hakuna LOVE, ila ni nyege tu, basi utaishia kutapeliwa na kuachwa.
Niishie hapa mkizingua Kataa Ndoa nawarudia Hadi mnielewe.
Kuna Manzi alikuja Geto kwangu bhana, ni mzuri hatari, aliona bro michicha ipo akaja geto kilaini...
Kufika ndani Jomba hailogeki haidanganyiki, mwisho mapenzi yalimshinda akanikimbia.
Alikuja kwangu, Nampikia, Nafua mashuka, na mengine nisiseme iwe siri ila yeye kazi yake ilikua ni kuitega tu mbususu, nilikua namsibr aniombe hela Nimpe Jibu baya.
Nikashangaa akajiongeza kubeba nguo zake na kuondoka.
Hii story ni ndefu hamta helewa kirahisi.
Ukiwa Unajua Kupenda, Yani Ukikaa na watu watakutamani tu, Yani ukimuacha huyu unapendwa na Manzi mwingine ni hivo tu rahis sana 😂😂😂😂