Kwanini kwenye mabucha ya nguruwe hawauzi utumbo?

Kwanini kwenye mabucha ya nguruwe hawauzi utumbo?

Ngoja ndg zangu wa dini ya haki waje watueleze
 
Nisasa tu jinsi vyuma vinavyokaza watu wataanza kula.. nakumbuka kipindi tunakua utumbo wa kuku ulikua unatupwa na sasa unauzwa kila kona za Dar es Salaam jiji la pesa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom