Kwanini kwenye mabucha ya nguruwe hawauzi utumbo?

Kwanini kwenye mabucha ya nguruwe hawauzi utumbo?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,027
Ukiwa unafanya biashara hasa ya kusafiri utajifunza mengi.

Ndugu zangu maeneo ya Iringa, Mbeya hasa nje ya mji nguruwe wanafugwa kama mbuzi. Hakuna udhibiti ,wanafunguliwa asubuhi wanarudi.

Cha kushangaza maeneo ambayo kuna mabucha sijawaji kuona utumbo wa nguruwe.

Swali la msingi kwa walaji, vipi utumbo wa nguruwe unaliwa? Kama unaliwa kwanini hawauzi buchani?

NB: Hayo maeneo niliyotaja nguruwe ni kama mbuzi tu, na wanajilea kama kuku wa kienyeji.
 
Labda huko kwenu, huku kwetu Utumbo wa Mdudu twala na unauzwa kama nyama nyingine Buchani.
 
Leo mnakuja na mada za kula mauchafuuu tuuu Mara vichwa vya bata
 
Utumbo kichwa na miguu mamantilie huwa wanachukua kule mchinjioni wanaaandaa supu kutengenezea mtori n.k hivi vitu hutaviona buchani bari kwa mama ntilie nadhani umepata jibu
 
Utumbo kichwa na miguu mamantilie huwa wanachukua kule mchinjioni wanaaandaa supu kutengenezea mtori n.k hivi vitu hutaviona buchani bari kwa mama ntilie nadhani umepata jibu
Wee ushawahi ona wapi supu ya Utumbo wa Nguruweee????Unazinguaa...
 
Huyo mdudu mungu alishakataza we mavi yake yanavyonuka vile unakulaje utumbo
 
Utumbo wa nguruwe unaliwa vizuri sana na vitu vingine vya ndani jumla vinaitwa njelenje ,hadi soseji ya nguruwe ipo
 
  • Thanks
Reactions: etb
Back
Top Bottom