Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Miaka 17-24 wanaume watano! Hiyo 4 imeongezwa tu, usikute ana miaka 18 au 20 huku akiwa amewahi kutoka na wanaume watano. Kweli vijana sasa ni janga.
Hili ndo jibu kwa kinachomsibu..japo nimepata shida saana kukuelewa.
nimekuelewa wewe ni girl.
alafu ulipaswa utaje umri sahihi au atleast range inayoeleweka.
from 17-24 wasichana wenye 17-20 wanauniq characters from wale wenye 21 -24
upo wapi katika hiyo range
skendo siku zote haziji from no where....jiulize kwanini wewe na sio mwengine? probably inatokana na tabia zako kwa ujumla..... watu unaopenda kuwa nao muda wote wanatabia gani...marafik.
dressing yako... unavyo ongea.. hususan na me.. hayo yote ndio husababisha hizo skendo...
labda pia kujionyesha onyesha. within short time umedate na wanaume kadhaa alaf unatabia ya kuweka mambo open..lazima watu walete skendo....
kama umeshatambua una weakness fulan ya kimaumbile au chchote..basi jityune insuch way you overcome that..bila ya kujifeel vibaya au inferiority..
jipange for new relation...usikurupuke. chagua kilicho sahihi
Nashukuru sana sumbai umenielewa japo Kua nimekupa shida yajapo nimepata shida saana kukuelewa.
nimekuelewa wewe ni girl.
alafu ulipaswa utaje umri sahihi au atleast range inayoeleweka.
from 17-24 wasichana wenye 17-20 wanauniq characters from wale wenye 21 -24
upo wapi katika hiyo range
skendo siku zote haziji from no where....jiulize kwanini wewe na sio mwengine? probably inatokana na tabia zako kwa ujumla..... watu unaopenda kuwa nao muda wote wanatabia gani...marafik.
dressing yako... unavyo ongea.. hususan na me.. hayo yote ndio husababisha hizo skendo...
labda pia kujionyesha onyesha. within short time umedate na wanaume kadhaa alaf unatabia ya kuweka mambo open..lazima watu walete skendo....
kama umeshatambua una weakness fulan ya kimaumbile au chchote..basi jityune insuch way you overcome that..bila ya kujifeel vibaya au inferiority..
jipange for new relation...usikurupuke. chagua kilicho sahihi
Nitakomaa na shure the boss sifanye mchezo tena
shukrani kwa kunielewa...Nashukuru sana sumbai umenielewa japo Kua nimekupa shida ya
Hapa na pale kwenye kunielew...
Umenitenda haki kwa ushauri
Ulio nipa sna sna kwa mujbu wamaelezo yngu yattzo ansate sna sumbi...umeniongeze kitu sijabki
Nilivo
Kwani wewe ni Malaya kweli?
Ngoma umepima huna...
Kwani una pepo la ngono kweli?
Kwa maneno yako ni kwamba washakulalia wengi wengi hadi viziwi, na wenye skendo...