Kwanini kwa wanawake tu na sio wanaume?

Kwanini kwa wanawake tu na sio wanaume?

yes yes bado ni vijana, unashangaa nini au hujui ujana unaishia ngapi?
kila mtu awe huru bhana tunaishi nchi huru
teh teh
Haaaaaa sijashangaa ila nimecheka tu jinsi ulivyomjibu uyo jamaa anaewazeesha wanawake wenye umri 30
 
Haaaaaa sijashangaa ila nimecheka tu jinsi ulivyomjibu uyo jamaa anaewazeesha wanawake wenye umri 30
kweli kabisa aache hizo maneno mbovu mbovu

hahahahahah asante mkuu, watu wamezoea kucremu mambo, unaweza olewa na 30+ na ukawa na amani na furaha sana kwenye ndoa
 
kweli kabisa aache hizo maneno mbovu mbovu

hahahahahah asante mkuu, watu wamezoea kucremu mambo, unaweza olewa na 30+ na ukawa na amani na furaha sana kwenye ndoa
Kabisa maana suala la ndoa ni kuomba tu kumpata asiye na matatzo mobu haijalishi awe single mother au binti
 
Ndoa ni Muhimu sana lakini Sio Lazima. Its a Necessary Thing But Not a Must.
 
umenikumbusha mbali na hiyo mobu, napenda sana kuwasikia vijana wa kisii wakisemanga hivyo
Haaaaaa mi uwa napenda sana kiswahili ya kikenya, uwa naenjoy sana kuangalia taarifa zao za habari kuanzia saa 1 usiku na maigizo yao.
 
Pale eden baada ya mwanamke kumsikiliza shetani, Mungu alimpa laana 3 mojawapo ni tamaa zake juu ya mwanaume nae atamtawala. Ndo maana mpk leo mwanamke anaona mwanaume ni wa thamani kuliko chochote kwake, bila kujali mwanaume huyo anamtesa yeye bado ataganda hapo.
From my understanding, the only important thing to a woman ni material staff na her kids...mtu ackudanganye eti ni a man....
 
Ni mentality tu ilojengeka ktk jamii zetu enzi na enzi, hivyo historia ndio inatuathiri. Kingine wanawake tuna biological clock, maana lengo la ndoa ni ili muwe na familia(watoto) sasa kwetu wanawake kuna umri ukifika kuzaa ni taabu au hauzai kabisa. Ndio maana masuala ya kutusakama na umri hutokea.
 
Ukipata ndoa lkn kupata mtoto ikawa issue vepe?
 
Back
Top Bottom