deebo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 353
- 229
Habar za majukum wakuu? Bila kupoteza muda niende kwenye point..
Katika uelewa wangu hua naona wanawake hujengewa iman kua katika maisha yao pamoja na kua na ndoto zao, NDOA ni kama sahani ya kubebea hizo ndoto zao... NDOA kwa wanawake ni swala linalochukuliwa kama bahati tena ina paswa kutokea katika umri flan. Mwanamke akifikisha miaka 27+ hajaolewa inakua kama kadoda hivi, hata saikologia yake haiwi sawa kutokana na misingi ya iman iliopo kwenye jamii kuhusu ndoa na wanawake..
Kwa upande wa sisi wanaume pressure sio kubwa sana juu ya ndoa.. Ni kama chaguo la maamuz kwa wakat tutaopenda sisi.. Watu wanachelewa sana kuoa ila haiwi na uzito kama mwanamke atavyo chelewa kuoa..
Kwann wanaume tusiwe na pressure sawa na wanawake juu ya ndoa? Kwa mtazamo wangu tunge punguza wimbi kubwa la wanawake wanao saka ndoa kwa udi na uvumba.. Ila shida ni kua mwanaume ndoa ni kama option hadi pale mvi zinapo tokea ndo ulazima unaeza anza tokea..
Vipi kama uhitaj wa ndoa ungekua wa kiwango sawa kwa pande zote mbili?
Napenda kuwasilisha, tupate mitazamo yenu wakuu juu ya swala hili..