Kwanini kusiwe na pete za kuachana?

Kadi Poa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
2,015
Reaction score
1,007
Wadau,

Najua nyie wote ni wazima licha ya kuwa wengi wenu mnaugulia majibu yenu kimya kimya, leo nimekuja na wazo hili, hivi kama kuna pete za uchumba, pete za ndoa, kwanini tusiweke utaratibu wa pete za kuachana (divorced ring) tena iwe na rangi nyekundu kabisa kama tukipenda.

Au tunasubiri mpaka wazungu waanzishe na sisi ndio tuige?

Kwanini tunashindwa kuanza na kitu chetu wenyewe kisha wao wakafuata?
 
umeshafikiria yafuatayo?
A. je itavaliwa kidole gani?
B.je ukiachika/acha mara kibao zitatosha kidoleni?
C. je si utakuwa unajichora kwamba umeacha/achika?
 
umeshafikiria yafuatayo?
A. je itavaliwa kidole gani?
B.je ukiachika/acha mara kibao zitatosha kidoleni?
C. je si utakuwa unajichora kwamba umeacha/achika?
hapa issue ni kwamba ukiachana unavua pete zote za ndoa na engagent kisha unavaa hiyo ya kuachana........
 
Kipo kidole cha kuachana,inatosha hiyo haina haja ya pete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…