Pole sana
Kuna uwezekano mkubwa ana:-Kwa mawazo haya tuko na safari ndefu hadi kuifikia nchi ya ahadi
Ulipaswa kuchukua hatua mapema. Kuna option mbili ambazo ungefanya:Nimekuja sehemu msibani, nimekaa kwenye kiti, amekuja jamaa ameweka kitu chake kinagusana kabisa na kiti changu, huku mabega yake yakikutana na yangu.
Nikakausha, sasa jamaa anapiga story anajisahau anakugusa miguuni, hii kitu ni very awkward. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa yeye anaona kawaida au anamatatizo hanastarabika?
Wewe mbona umetoa mawazo yako huku? Mwacha naye ataoe ya moyoni.Jf imekua kama shimo la taka, kila uchafu watu wanatupia huku
Gentleman,Nimekuja sehemu msibani, nimekaa kwenye kiti, amekuja jamaa ameweka kitu chake kinagusana kabisa na kiti changu, huku mabega yake yakikutana na yangu.
Nikakausha, sasa jamaa anapiga story anajisahau anakugusa miguuni, hii kitu ni very awkward. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa yeye anaona kawaida au anamatatizo hanastarabika?
Mim sehemu ya kazi, nimeweka maji yangu kwenye kopo nakuta yamepungua kumbe jamaa kanywa na nimgeni. Sikuwaza nikahis labda kanawa nikachota tena maji kwaajili yangu ninywe nakuta yameisha fyuu namuuliza anacheka et ni mim hapa nimekunywa.Nimekuja sehemu msibani, nimekaa kwenye kiti, amekuja jamaa ameweka kitu chake kinagusana kabisa na kiti changu, huku mabega yake yakikutana na yangu.
Nikakausha, sasa jamaa anapiga story anajisahau anakugusa miguuni, hii kitu ni very awkward. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa yeye anaona kawaida au anamatatizo hanastarabika?
Naona unawaza muda wa kula itakuwaje. Ndicho kinachokukera.Nimekuja sehemu msibani, nimekaa kwenye kiti, amekuja jamaa ameweka kitu chake kinagusana kabisa na kiti changu, huku mabega yake yakikutana na yangu.
Nikakausha, sasa jamaa anapiga story anajisahau anakugusa miguuni, hii kitu ni very awkward. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa yeye anaona kawaida au anamatatizo hanastarabika?