Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,056
- 12,915
Kweli kabisa ngoja tuwasubiri wajuzi wa haya mambo.Mimi siyo mchumi ila na share mjadala, nilienda Kenya eneo la Olasti-Laitokitok nilikuwa na elf moja ya kitanzania nikauliza soda ya take away ni bei gani? Nikaambiwa ni shilingi 50 ya Kenya Ila ya Tanzania Ni elfu moja, nikawapa shilingi elfu moja ya Tz wakanipa soda nikanywa....leo shilingi elfu moja ya TZ ni sawa karibia shilingi 43.478 ya Kenya hivyo ya TZ imeshuka kiasi. Sasa baada ya kupata soda kwa book ya TZ basi nikahisi ni suala la namba tu lakini wachumi wanaweza kutupa elimu zaidi maana book yangu nikiwa Kenya ilifanya kazi sawa na ile ingefanya TZ kwa kipindi kile
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Ila bongo ungekunywa soda 2Mimi siyo mchumi ila na share mjadala, nilienda Kenya eneo la Olasti-Laitokitok nilikuwa na elf moja ya kitanzania nikauliza soda ya take away ni bei gani? Nikaambiwa ni shilingi 50 ya Kenya Ila ya Tanzania Ni elfu moja, nikawapa shilingi elfu moja ya Tz wakanipa soda nikanywa....leo shilingi elfu moja ya TZ ni sawa karibia shilingi 43.478 ya Kenya hivyo ya TZ imeshuka kiasi. Sasa baada ya kupata soda kwa book ya TZ basi nikahisi ni suala la namba tu lakini wachumi wanaweza kutupa elimu zaidi maana book yangu nikiwa Kenya ilifanya kazi sawa na ile ingefanya TZ kwa kipindi kile
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Si amekuambia ni take away 🤣🤣Ila bongo ungekunywa soda 2
Kama take away ni sahihiSi amekuambia ni take away 🤣🤣
Ila bongo ungekunywa soda 2
Hahahah kwani hio 50 bob alinunulia serena?Ila sio Serena Hotel
Hapa JF hakuna ngwini wote walisoma MD na Engineering tuWale BA Economics ndio wakati wa kuonesha uchegere wenu.
Subiri kwanza tunaangalia jinsi ya kuchomeka mafanikio ya Mamasamia kwenye kukujibu, tukiwa tayari tutakujibu.Huu mjadala nimeukuta mahali, kwanini pesa ya Kenya inathamani kubwa kuliko ya Tanzania?
Mjadala ulikuwa mkubwa sana watu kidogo wazichape, mkenya alikuwa mmoja tu watz tulikuwa kama wote.
Wapo waliodai utofauti wa pesa yetu na yao ni namba tu, kwa mfano 500 ya kenya ni sawa 10k ya tz watu wakaenda mbali zaidi wakadai Kenya wameamua kuipa thamani kubwa 500 kwamba hii 500 unaweza kwenda nayo buchani na ukanunua nayo nyama.
Ni kama ilivyo hapa tz utitaka nyama safi kabisa unaipata kwa 10k kwa kilo moja.
Lakini mimi sikukubaliana nao, tukirudi miaka ya nyuma kidogo nakumbuka pesa yetu ilikuwa na thamani sana, miaka ile ukiwa na 500 unakula chakula kwa mama ntilie na unashiba.
Miaka ile wakati nasoma mzee kila siku alikuwa ananipa 200, nauli ya daladala 50 kwenda na kurudi nitatumia 100 mia inayobaki nitatesa nayo sana kipindi kile ubuyu ulikuwa sh. 5 barafu sh10, hapo nitabana hamsini ibaki nikaangalie movie kibanda umiza.
Wanauchumi embu nitoeni matongotongo, nini kimepelekea pesa yetu kuporomoka hivi? Mbona ya wenzetu imebaki pale pale.
Hapana mkuu soda hata bongo take away ilikuwa inanunua kwa bei ile ile kwa ujazo uleuleIla bongo ungekunywa soda 2
Kwacha naskia wamebadili pesa zao mfano ile iliyokua kwaxha 1000 sasa inaitwa kwacha 1, iliyokua kwacha 10000 sasa ni kwacha 10 nakuendelea. Fuatilia hata tarehe za hizo fedha ni za miaka ya karibuni tofauti na zile za zamani ambazo hazikua na thamani dhidi ya tshYeah mtoa hoja nami ninashangaa sana hata Zambian Kwacha imekua na thamani kubwa mno kuliko Tshs yetu!
🤣🤣Mi nadhani tufute masifuri mawili kwenye hela zetu kazi iishe. Kwanini tusumbuke bwana!
hili kama lina ukweli kwa asilimia nyingi...Hapa JF hakuna ngwini wote walisoma MD na Engineering tu
Hakika kiongozMi nadhani tufute masifuri mawili kwenye hela zetu kazi iishe. Kwanini tusumbuke bwana!
HahahahahahahaSubiri kwanza tunaangalia jinsi ya kuchomeka mafanikio ya Mamasamia kwenye kukujibu, tukiwa tayari tutakujibu.