Hahahahaa chai hii
Ukweli ni upi Mkuu? Tujuzeni tujue.Hahahahaa chai hii
Eneo lililopo enzi zile lilihitwa UKUTA WA POSTA eneo lote la TCRA, School of Law na upande wa Aghakhan karibu na Petrol station yote ilikuwa mali ya Posta na Simu na miaka ya 2000 hukoHili ni swali nimekuwa najiuliza muda mrefu ila sijapata mtu wa kunifahamisha.
Kwa nini kituo cha Mawasiliano kilichopo Sinza/Ubungo kinaitwa Simu 2000. Jina hilo limetokea wapi?
Na je kinatamkwaje, 'Simu Two Thousand' au 'Simu Elfu Mbili'?
Swali la mwisho, kwa nini pamoja na kuwa ndiyo jina rasmi la kituo kwa maana tiketi na mabasi yameandikwa hivyo, makondakta wanaonekana kupendelea zaidi jina la 'Ubungo Mawasiliano'?
Hahahahaa chai hii
Ila kwa mabasi nakumbuka yalitumia jina la 'mabasi yaendayo haraka', ila watu somo halikuwaingia kabisa.Ni mapungufu makubwa ambayo saingine viongozi wanafanya!
Haileti maana sana ya moja kwa moja!
Mfano kuyaita mabasi ya “mwendo kasi” ni mapungufu makubwa!
Sababu inakinzana na swala la katazo la mwendo kasi unaosababisha ajali na maafa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kawaulize lumumba wakupe majibunilishaga wahi kuuliza hili swali humu sijapata jibu mpaka leo
du chadomo mnanifuata mpaka huku? nitakuwa siongelei siasa sasa maana balaa sasa lumumba ndiyo walipanga hilo jina? naona kunasehemu tumebishana wewe unaleta na huku siasa hujui weweNenda kawaulize lumumba wakupe majibu
Lile eneo lilikua linamilikiwa na kampuni/shirika la serikali liitwalo SIMU 2000 ambalo lilianzishwa kuhodhi mali za kampuni ya simu kama ilivyokuwa RALCO ambayo inahodhi mali ya kampuni ya reli.Hili ni swali nimekuwa najiuliza muda mrefu ila sijapata mtu wa kunifahamisha.
Kwa nini kituo cha Mawasiliano kilichopo Sinza/Ubungo kinaitwa Simu 2000. Jina hilo limetokea wapi?
Na je kinatamkwaje, 'Simu Two Thousand' au 'Simu Elfu Mbili'?
Swali la mwisho, kwa nini pamoja na kuwa ndiyo jina rasmi la kituo kwa maana tiketi na mabasi yameandikwa hivyo, makondakta wanaonekana kupendelea zaidi jina la 'Ubungo Mawasiliano'?
Hah hah hah hahHayo maeneo kuna jamaa alikuwa anauza simu elfu mbili mbili
alikuwa teja
Hili ndio jibu sahihi.Lile eneo lilikua linamilikiwa na kampuni/shirika la serikali liitwalo SIMU 2000 ambalo lilianzishwa kuhodhi mali za kampuni ya simu kama ilivyokuwa RALCO ambayo inahodhi mali ya kampuni ya reli.
Sent using Jamii Forums mobile app