Kwanini kinyesi cha binadamu hakitumiki kama mbolea?

Kwanini kinyesi cha binadamu hakitumiki kama mbolea?

Kinyesi cha binadam na mbwa kinamagonjwa ya kuambukiza ndo maana hakitumiki ktk kutengeneza mbolea
 
Pale urafiki kwa wachina, wanatumia sana mbolea ya kinyesi cha binadamu. Nyanya yao moja kama kicha cha mtoto wa kidigo.
Kitunguu kama nyonyo ya mwali wa kingoni.
Tikiti maji ni kama nani hii ya kina mama wa kanga moko laki si pesa.
Ila mimi binafsi mazao yale sili
 
Haaahaaa

Jf raha sana. Stress zote zimeisha sasa

Cheka uongeze siku za kuishi mkuu, siku ikiisha hujacheka hapa jf unahitaji kumuona daktari,unakua na stress zako ukigika humu kupitia post 2 tu unakumbana na kituko kitakachokufanya ucheke tu.
 
Kinyesi cha binadamu kinatumika kama mbolea ila lazima kioze na kukauka na hapo hubadilika jina na kuitwa night soils badala ya manure kama zinavyo itwa mbolea za wanyama wengine
 
Kinyesi cha binadamu kinatumika kama mbolea ila lazima kioze na kukauka na hapo hubadilika jina na kuitwa night soils badala ya manure kama zinavyo itwa mbolea za wanyama wengine

kweli Mkuu,kuna shamba tulijaribia mavuno yake hata mbolea ya kawaida haifui dafu,
note: mvua au maji ya kutosha muhimu,la sivo mazao yanaungua yote
 
Washaanza kutumia mfano mfumo wa maji taka
 
Back
Top Bottom