chameleon
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 555
- 170
Inasemekana yanaweza kuzalisha nishati mbadala
Lakini kwanini hayatumiki kwa mbolea kama wanyama wengine?
Pale Keko Wachina wanatumia ktk kilimo cha mbogamboga.
Inasemekana yanaweza kuzalisha nishati mbadala
Lakini kwanini hayatumiki kwa mbolea kama wanyama wengine?
Mkuu ila prosess yake ya kuandaa mbolea ya mavi sisi tumekitumia sana na mazao yanastawi hadi kero sijasimuliwa ila hvi vioo vya maji ni shida! kama choo siyo cha maji kikishajaa una stop kukitumia kwa mda halafu baada ya mda unachimba pembeni ya choo kwa nje unachota halafu unaendaa kumwanga mahali kama kifusi kikikauka unakiponda hadi kinasagika hakina harufu wala nini! karibu mbeya
dah! kweli kichwa ndio mtu,na watu wa mkoa wa mara wanaokula ugali wa mtama? au watavunja mtambo,manake wanadai kimba ya mtama ni ngumu kama nondo ya kutengenezea darajaWanasayansi wakifanikiwa hilo hapa Tanganyika, mikoa itakayo zalisha umeme kwa wingi kutokana na wingi wa mavi ni;
1. Dar es salaam, hii ni kutokana na wingi wa watu
2. Mbeya, hii ni kutokana na watu wa kule kunya mavi makubwa sana.
3. Iringa, hii ni sawa na Mbeya.
4. Tabora, ni kama Mbeya, tofauti ni kwamba wanakunya kunya sana, mtu anaweza kwenda chooni mara sita kwa siku.
5.Kagera, nshomile wanakunya sana.
6. Kilimanjaro, hawa wanapenda sana kula na kunywa automatically watakua na reserve kubwa ya kinyesi.
Mikoa hiyo sita inaweza kuzalisha megawati 2000 ikaingizwa grid ya taifa mgao ukaisha.
Wanasayansi wakifanikiwa hilo hapa Tanganyika, mikoa itakayo zalisha umeme kwa wingi kutokana na wingi wa mavi ni;

Kinyesi cha binadamu kama mbolea kinaweza kusababisha magonywa hatari sana na mengi sana, hivyo utumiaji wake unapaswa kuwa makini sana. Hatari ni nyingi kuliko faida. Orodha ya magonjwa unayoweza kupata kutokana na kinyesi cha binadamu ni kama ifuatavyo, na baadhi ya haya magonjwa utakufa haraka sana;
Polio Hepatitis A, E
Viral diarrhoeas such as rotavirus and adenovirus
Typhoid and paratyphoid
Cholera
Bacillary dysentery
Anthrax
Bacteria diarrhoeassuch as Yersinia, Campylobacter, E. coli
Amoebiasis
Giardiasis
Ascariasis
Enterobiasis
Trichuriasis
Taeniasis
Hydatidosis
Botulism
Staphylococcal food poisoning
Enterotoxigenic coli diarrhea
Wanasayansi wakifanikiwa hilo hapa Tanganyika, mikoa itakayo zalisha umeme kwa wingi kutokana na wingi wa mavi ni;
1. Dar es salaam, hii ni kutokana na wingi wa watu
2. Mbeya, hii ni kutokana na watu wa kule kunya mavi makubwa sana.
3. Iringa, hii ni sawa na Mbeya.
4. Tabora, ni kama Mbeya, tofauti ni kwamba wanakunya kunya sana, mtu anaweza kwenda chooni mara sita kwa siku.
5.Kagera, nshomile wanakunya sana.
6. Kilimanjaro, hawa wanapenda sana kula na kunywa automatically watakua na reserve kubwa ya kinyesi.
Mikoa hiyo sita inaweza kuzalisha megawati 2000 ikaingizwa grid ya taifa mgao ukaisha.
Wanasayansi wakifanikiwa hilo hapa Tanganyika, mikoa itakayo zalisha umeme kwa wingi kutokana na wingi wa mavi ni;
1. Dar es salaam, hii ni kutokana na wingi wa watu
2. Mbeya, hii ni kutokana na watu wa kule kunya mavi makubwa sana.
3. Iringa, hii ni sawa na Mbeya.
4. Tabora, ni kama Mbeya, tofauti ni kwamba wanakunya kunya sana, mtu anaweza kwenda chooni mara sita kwa siku.
5.Kagera, nshomile wanakunya sana.
6. Kilimanjaro, hawa wanapenda sana kula na kunywa automatically watakua na reserve kubwa ya kinyesi.
Mikoa hiyo sita inaweza kuzalisha megawati 2000 ikaingizwa grid ya taifa mgao ukaisha.
Wanasayansi wakifanikiwa hilo hapa Tanganyika, mikoa itakayo zalisha umeme kwa wingi kutokana na wingi wa mavi ni;
1. Dar es salaam, hii ni kutokana na wingi wa watu
2. Mbeya, hii ni kutokana na watu wa kule kunya mavi makubwa sana.
3. Iringa, hii ni sawa na Mbeya.
4. Tabora, ni kama Mbeya, tofauti ni kwamba wanakunya kunya sana, mtu anaweza kwenda chooni mara sita kwa siku.
5.Kagera, nshomile wanakunya sana.
6. Kilimanjaro, hawa wanapenda sana kula na kunywa automatically watakua na reserve kubwa ya kinyesi.
Mikoa hiyo sita inaweza kuzalisha megawati 2000 ikaingizwa grid ya taifa mgao ukaisha.
Mkuu unaweza kufafanua hii revolution pliz?

Kunya = kujisaidia
Mavi = kinyesi

Mkuu wachina wanatumia ila baada ya kukiwekea dawa ni mbolea safi sana.Inasemekana yanaweza kuzalisha nishati mbadala