sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
- Thread starter
- #21
aseeeeeiiii kubeba mimba miezi tisa siyo
mchezo bana robo tatu mwaka
uko na kitumbo mara kutapika
mara miguu kuvimba na vyinginevyo
nyie kina baba mnastarehe tuu
wala hupati kero ya kichefuchefu
kina mama wanastahili pongezi
loveeee u mama mungu
akubariki kwa kuvumilia yote mpaka
kunileta duniani
saluteeeeee......
mkishabeba na kazi mnatutegea tunawasaidia mnapoanza kudeka hapo mnasemaje?