Kwanini kila Rais atayekuja kupitia CCM ataingia kwenye List of Shame?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Mkapa aliingia kwenye List of shame kwa mujibu wa Dr Slaa.

Baadae Kikwete pia akaingia kwenye List of shame kwa mjibu wa Dr Slaa.

Sasa ni kwa nini na hata Mtukufu ataingia hapo? mafisadi wameongezeka awamu hii kwa nini?

1: Baada ya kuangalia uwanja wa ndege chato utajengwa kwa Bilion 60 na tenda yake kupatikana kwa njia zisizo julikana.

2: Kununua ndege kwa bei isiyojulikana wakati pesa ni za walipa kodi .

3: kuchangisha bilion 16 za maafa na kusema wamechangisha bilion 5.4

4: kuhongwa kwa wabunge Milioni kumi kwa kila mbunge

Naona mafisadi wameongezeka sasa kutokana na ile list yake tunaweza kuiboresha kwa kuongeza mafisadi wengine wakongwe na wanaochipukia.

Swali ni je kwanini ufisadi na hongo zinaonekana kuongezeka sana kipindi hiki? Kuna nini nyuma ya pazia?

Jibu ni moja tu Tunaingiza watu masikini Ikulu na kutegemea waondoke wakiwa masikini kitu ambacho ni kama kumfungia ndani ya chumba paka na sifulia ya maziwa .

Swali ni kwamba ikiwa unaenda ikulu bila kitu chochote inakuwaje unatoka uko ukiwa Tajiri wa kutupwa? Kuna biashara gani huko?
 
Attachments

  • 1479117791152.jpg
    1479117791152.jpg
    11 KB · Views: 56
  • 1479117801867.jpg
    1479117801867.jpg
    83.2 KB · Views: 61
Nilikuwa nakuheshimu kwa kiasi fulani MLETA uzi huu....HIVI HIZO picha ulizoambatanisha unamaanisha nini hasa???MBNA HIZO NI NI FLAT ulizoambatAnisha tuliowengi tunafahamu ni nyumba za WALE JAMAA WA MABAKA MABAKA zilizo jengwa kwa wingi sana NCHINI kipindi cha JK kwa ajili yao....leo zimekuwa ni za mtoto wa mstaafu???DUUUH kweli MR ZERO ANATUHARIBIA HAWA VIJANA WETU....haya ni matumizi mabaya sana ya MITANDAO
 
ivi mnacho lalamikia mali za watu nini?

kwani hawakuwa na mishahara na marupurupu kisha kujiendelezea miradi yao?
mbona wewe kupiti mishahara umefanikisha gari , nyumba, kusomesha,kusoma n.k

je unazani wanachogombania kuingia ikulu ni kwenda kuteseka na kukauka makoo yao tu bila kubadili hata kiatu cha kazini?

tuwe na ubinadamu.
 
Hakuna anayelalamika umeona sehemu nimelalamika au nimeuliza inakuaje unaenda ikulu ukiwa hauna kitu lakini after 10 year unakuwa wealthiest?
 
anajiita mzalemdo raisi wa masikini lakini kashindwa kutoa hata theluthi ya milioni arobaini ambayo anapokea kama mshahara napia haikatwi kodi,japo kudonate kwenda kwenye huduma za afya au kughalimia elimu..!!Kikwete aliingia ikulu na milioni 20 leo ni mult millionaire
 
Nilikuwa nakuheshimu kwa kiasi fulani MLETA uzi huu....HIVI HIZO picha ulizoambatanisha unamaanisha nini hasa???MBNA HIZO NI NI FLAT ulizoambatAnisha tuliowengi tunafahamu ni nyumba za WALE JAMAA WA MABAKA MABAKA zilizo jengwa kwa wingi sana NCHINI kipindi cha JK kwa ajili yao....leo zimekuwa ni za mtoto wa mstaafu???DUUUH kweli MR ZERO ANATUHARIBIA HAWA VIJANA WETU....haya ni matumizi mabaya sana ya MITANDAO
I think you're not well informed....

I'm sory....
 
Back
Top Bottom