Habri zenu wapendwa! kama mpo ok, glory to god na wale spana mkononi poleni sana!
Nataka kusema jamb hapa ndugu zangu hv kwanin kila mtu au jinsia fulan imekuwa ikijiona sana kwenye suala la mpenz?
Hapa unakuta kuna majigamb mara hv mara vile kwan lazma? kama hutaki c bora useme ueleweke so unakuwa mis respoding kwa mamb mnayokubaliana??
Mengne ukipga cm hayapokei wala kujib sms na mbya zaid anakuwa haonesh msimam kama anataka au la!, jaman huu so muda wa kunyanyasana kwa mapenz bt kuwekeana mazngra mazur ili 2gegedane?!
Kuna muda mwingne h jinsia ukwepo nayo anarespond fresh btmuda mwingnd signal low kama maving'amuz ya statimes.
Embu 2saidiane kwa kupeana raha na sio makaraha bwana, stres 2najaziana bure wakati lfe expecncy yeny makumi manne tu!
Ukija na kwa hawa wavaa milege nao shida tupu yani ful upumbvu eti kisa ameshamega! Ukmpigia cm hataki pokea, kiburi ,zarau na majivun ndo kauli mbiu ya hawa watu.
Ukimuulzakwanin haya et nimeshamega!!!!!! jamani kwel mapenz n kumega tu! nisaidien wakubwa zangu maana me labda na umri wang mdogo ni tatzo!
Jamani eeh majivuno hukaa kwa wanoko na wapuuzi, so kuwa focused usijione wa maana sana, bt 2shrikiane kulamb sukari guru.
By Walas Ba

Last edited by a moderator: