kwanini kila mtu anajifanya ndo yeye kwenye mapenz

Walas Ba

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
3,349
1,622
Habri zenu wapendwa! kama mpo ok, glory to god na wale spana mkononi poleni sana!

Nataka kusema jamb hapa ndugu zangu hv kwanin kila mtu au jinsia fulan imekuwa ikijiona sana kwenye suala la mpenz?
Hapa unakuta kuna majigamb mara hv mara vile kwan lazma? kama hutaki c bora useme ueleweke so unakuwa mis respoding kwa mamb mnayokubaliana??

Mengne ukipga cm hayapokei wala kujib sms na mbya zaid anakuwa haonesh msimam kama anataka au la!, jaman huu so muda wa kunyanyasana kwa mapenz bt kuwekeana mazngra mazur ili 2gegedane?!

Kuna muda mwingne h jinsia ukwepo nayo anarespond fresh btmuda mwingnd signal low kama maving'amuz ya statimes.

Embu 2saidiane kwa kupeana raha na sio makaraha bwana, stres 2najaziana bure wakati lfe expecncy yeny makumi manne tu!

Ukija na kwa hawa wavaa milege nao shida tupu yani ful upumbvu eti kisa ameshamega! Ukmpigia cm hataki pokea, kiburi ,zarau na majivun ndo kauli mbiu ya hawa watu.
Ukimuulzakwanin haya et nimeshamega!!!!!! jamani kwel mapenz n kumega tu! nisaidien wakubwa zangu maana me labda na umri wang mdogo ni tatzo!

Jamani eeh majivuno hukaa kwa wanoko na wapuuzi, so kuwa focused usijione wa maana sana, bt 2shrikiane kulamb sukari guru.

By Walas Ba
 
Last edited by a moderator:

Ufuu! Donda langu umelimwagia chumvi. Tulipokuwa karibu utafikiri uko chini ya mnara network full. Distance ilivyojitokeza mabalaa yakaanza hadi yakawa majanga. Si nzuri sana wapenzi waoneshane umwamba kwenye mambo yaletayo maumivu, bali wayabadili hayo ili mapenzi yalete maana.
 
Last edited by a moderator:
Heri nilidakwa tangu nikiwa kinda mpaka sasa naruka na aliyenidaka!! Pole kwa kukutana na wanoko + wapuuzi
 
Na kweli umri ndo unakusumbua. Umevamia uvuvi pasi tahadhari. Ukitaka kuishi maisha ya starehe mwanzo mwisho, msome mwenzio and lower your expectation on everyone. Yaani asipopokea simu assume yuko mbali nauo, yuko busy ama ameibiwa. Akijinunia mwenyewe chukua time atarudi mood yake ikirudi. Ukijiweka desperate kumfurahisha mtu na kumuachia aamue wewe ufurahi lini utapata shida mno.
 
We King'asti hv wajua kwanin nimesema umri mdogo?????
Nilikuwa nataka kuwa omb weny miaka at least 40 wanambie h ndo kaul mbiu au nin???
Halaf kwa bahat nzur sipo in relation kwa sasa , ila haya niloondka nimeyaona na kuambiwa na ma frnds wang
 
Last edited by a moderator:
Ufuu! Donda langu umelimwagia chumvi. Tulipokuwa karibu utafikiri uko chini ya mnara network full. Distance ilivyojitokeza mabalaa yakaanza hadi yakawa majanga. Si nzuri sana wapenzi waoneshane umwamba kwenye mambo yaletayo maumivu, bali wayabadili hayo ili mapenzi yalete maana.

Pole sana bt ipo siku utapata a right person
 
Na kweli umri ndo unakusumbua. Umevamia uvuvi pasi tahadhari. Ukitaka kuishi maisha ya starehe mwanzo mwisho, msome mwenzio and lower your expectation on everyone. Yaani asipopokea simu assume yuko mbali nauo, yuko busy ama ameibiwa. Akijinunia mwenyewe chukua time atarudi mood yake ikirudi. Ukijiweka desperate kumfurahisha mtu na kumuachia aamue wewe ufurahi lini utapata shida mno.

shida ni kwamba siiku hizi vijana wanabebana na kuanza kumegana bila hata ya kusomana na kufahamiana vizuri.We mtu uunakutana nae siku ya kwanza unamtunuku tunda na limoyo lako lote unategemea anakuchukuliaje?
 
Duh na wewe
 
Back
Top Bottom