imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa serikali kuiraumu chadema kwa kila jambo linalojitokeza nchini eti wanasiasa wachama furani ndio wa wanaowachochea wananchi kuipinga serikali juu ya mambo mbalimbali yanayotokea nchini kwa sasa!mimi ninachofahamu chadema ni chama cha kisiasa na kinafanya kazi ya kisiasa kama wao ccm wafanyavyo wakati huu wakizunguka mikoa mbalimbali kunadi zana yao ya kujivua gamba!nani aliwambia kuwa watanzania watakuwa wajinga milele?you can full some people sometime but you cant full all people all the time!