pointless nenda katafakari tenaNi udini na ukabila tuu
Sababu wakatiri sana ndo kigezo nb mojaHii imekaaje wadau?Kila cheo jeshini ni wakurya na wasukuma tu?
Huko polisi na jeshi ni wakurya tu, wakifuatiwa na wajita na wasukuma?
Kulikoni?Kwamba raisi hakuona mikoa mingine ya kutoa IGP hadi iwe mara tu??
... na Said Mwema? Na Ernest Mangu?Aliekwambia kuwa Omary Mahita ni mtu wa Mara ni nani?
Mahita na na Said Mwema walitoka kanda yq ziwa?,uwe unafanya research hata kidogo kabla ya kutoa tuhuma nzito kama hiziHii imekaaje wadau?Kila cheo jeshini ni wakurya na wasukuma tu?
Huko polisi na jeshi ni wakurya tu, wakifuatiwa na wajita na wasukuma?
Kulikoni?Kwamba raisi hakuona mikoa mingine ya kutoa IGP hadi iwe mara tu??
Hata mimi namshangaa mleta mada.... na Said Mwema? Na Ernest Mangu?
Acha utoto; hakuna aliyeuliza kuhusu haya uliyoandika.mwema-mchaga.
mahita-mpogolo
mangu-mnyiramba
mwamunyange-mnyakyusa.
mabeyo-msukuma.
Au mahundiAliekwambia kuwa Omary Mahita ni mtu wa Mara ni nani?
Mu Irani leo umekengeuka.Hii imekaaje wadau Kila cheo jeshini ni Wakurya na Wasukuma tu?
Huko Polisi na Jeshi ni wakurya tu, wakifuatiwa na Wajita na Wasukuma?
Kulikoni? Kwamba Rais hakuona mikoa mingine ya kutoa IGP hadi iwe mara tu?