MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Nikila nikifungua mitandao siku hizi naona kuna kampeni kubwa ya kikundi cha watu kupinga na kukosoa kila anachofanya Mh Rais Magufuli
Nadhani hata hata Yasu alipata upinzani mkali sana toka Katika Utawala wa Herode na Kaisari na wanasheria wao kwa kuwa Yesu alipata wafuasi wengi na wengi walimuamini na kuponywa magonjwa yao.
Sasa kwa Rais Magufuli amekuwa akijitoa kwa hali na Mali kuikoa nchi toka ktk makucha ya manyang'au na mafisadi walikuwa wanaihujumu nchi kwa bila za kila aina kuhakikisha wanaendelea kunufaika na Rais Magufuli anasema No.
Na hapo ndipo shida inapoanzia ya kuanza kupingana kimaslahi.
Rais Magufuli kiukweli ameliokoa Taifa kutoka ktk makucha ya Simba wanaorarua hata Watoto wachanga,wajawazito,wazee,vilema,n.k kwa nguvu zote ilimradi tu wale nyama.
Tunasema Rais tuko Pamoja ktk juhudi zako mpaka tone la Mwisho la damu kulinda Maslahi ya nchi hii.