Kwanini Kila Hotuba ya Rais Magufuli lazima kuna watu kazi yao ni kuikosoa na kupinga tu??

Nalijua hilo Na ndiyo maana tuna toa Reference ambayo inaweza kutumika 'A President is a public figure so when Addressing The nation his speech has to be prepared in Advance, Though he may add something accordingly'
Ni kweli kabisa unachosema,na siyo ku rush tu ktk kuandaa hotuba
 
Kujitoa kwa hali na mali kuokoa nini? Mkaguzi wa hesabu za serikali kakuta madudu mengi ya wizi wa pesa za umma kuliko hata kipindi cha JK , hujuma bado zipo na huko kusema No ni kwa wengine mbona yy na Madalali GSM wamenunua ndege kwa cash na 10% yake imepitishiwa kwa Bashite Daud? Mwenye vyeti feki sasa ndiyo mshauri wake mkuu, tone la damu ipi mwisho? Acha kuishi kwa kukariri propaganda za CCM tambua kuwa Nchi bado inatafunwa kama mchwa na pesa za Tetemeko Bukoba zilichukuliwa kienyeji kwenda chato na sasa bila Bajeti bungeni uwanja wa ndege chato unajengwa kwa pesa nyingi.
Mbona mkuu hutaki kusoma A_Z?
Lipoti ipo wazi sheria na maamuzi ya serikali zilizopita ndio chimbuko la uharo unalitafuna taifa hili.
Labda kilichokosrkana ni kuwatia gerezani wanao husika kuwapa kitanzi na kufilisi mali zao,pia kutaifisha wake zao na watoto.
 
wew unaonaje hotuba zake? angekuwa anasomaga anachoandikiwa wala tusingemshangaa ila kila anachoongea ni atakosolewa mpka azime internet kwani yeye ni nani asikosolewe
 
KUMBE WANAKOSOA!. Unajua maana ya kukosoa? Toa mfano wa vipengele katika hotuba zake vilivyokosolewa japo viwili, kisha ueleze kwa nini unaona wanakosoa isivyo halali. Naomba utoe mifano miwili ya vipengele katika hotuba vilivyopingwa na useme kwa nini havikutakiwa kupingwa au kwa nini viliatakiwa kuungwa mkono.

Tuanzie hapa!
Sitaki kuingia ktk specific issues Mimi nimeongea kwa ujumla baada ya observation yangu ya muda sasa naona kila hotuba kuna kikundi kunatafuta chochote cha kumpinga.na kuanzisha mada.
 
Mkuu wako wa nchi bado hajatoa presidential speech so far ya kusifiwa na mimi, hivyo acha tuendelee kumkosoa hadi siku atakapojua yeye ni raisi wa watanzania wote.
 
Hivi report ya CAG inahusu kipindi kipi 2015/2016 au 2016/2017?Na je ni misallocation au frauds?Je ni lack of proper evidence au misaapropration of funds?
 
Mwisho Wa Magu kuongea bila kutoa boko katika hotuba zake ni dakika 5 na sekunde 33. Akizidisha hapo tu ni "maboko" yanafuatia. Ukiikuta hotuba ya magu kuanzia dakika ya 6 huwez kukwepa kusikia maboko.
 
Sitaki kuingia ktk specific issues Mimi nimeongea kwa ujumla baada ya observation yangu ya muda sasa naona kila hotuba kuna kikundi kunatafuta chochote cha kumpinga.na kuanzisha mada.

Unahitaji kuwa specific. Kama huna specific examples, how can we discuss the unknown? What I know no one is perfect kitu ambacho pia hata raisi Magufuli na binadamu mwingine yeyote tunaangukia katika hilo kundi. Kama naye ni binadmu kwamb kuna siku anaweza kukosea, wewe una msingi gani wa kulazimisha watu wote wasiyaone makosa yake? Au umesahau kwamba ni binadamu pia anastahili kukosolewa pale anapokosea?

Ungekuja na specific cases, tungepata sehemu za kujadili kuona kwa nini kakosolewa ki makosa ama kwa haki.

Asiyekosolewa ni Mungu Pekee!. Unalijua hilo? Na hiyo ni kwa sabbu Yeye ni Mungu hana anachoweza kukosea.
 
Hivi report ya CAG inahusu kipindi kipi 2015/2016 au 2016/2017?Na je ni misallocation au frauds?Je ni lack of proper evidence au misaapropration of funds?
Duh! unaweza kuuliza tena kwa kizaramo? Maneno maguuumuuuuu utadhani scientific name?
 
Watu sio marobot. Tunatofautiana kwenye kufikiri.100% ya Watu hawawezi kukubaliana na jambo flani...lazma kutakua na wanaopongeza na wanaokosoa. Ndio ubinadamu
 
Unahitaji kuwa specific. Kama huna specific examples, how can we discuss the unknown? What I know no one is perfect kitu ambacho pia hata raisi Magufuli na binadamu mwingine yeyote tunaangukia katika hilo kundi. Kama naye ni binadmu kwamb kuna siku anaweza kukosea, wewe una msingi gani wa kulazimisha watu wote wasiyaone makosa yake? Au umesahau kwamba ni binadamu pia anastahili kukosolewa pale anapokosea?

Ungekuja na specific cases, tungepata sehemu za kujadili kuona kwa nini kakosolewa ki makosa ama kwa haki.

Asiyekosolewa ni Mungu Pekee!. Unalijua hilo? Na hiyo ni kwa sabbu Yeye ni Mungu hana anachoweza kukosea.
Halafu soma mada vizuri,nimesema kwanini siku hizi kila hotuba ya Rais Magufuli kuna kikundi cha watu kazi kupinga na kukosoa tu.

Tofautisha sana na MTU kukosolowe kawaida.Nasema kazi yao kupinga na kukosoa kila hotuba anayoitoa Rais.

Je ktk hotuba za Rais hakuna hata nzuri moja ila kwao yote ni mabaya tu ya kupingwa na kukosolowa????

Napinga kwa 100% na kikundi hili kwa hii kampeni kwasababu hata kama kuna kuna madhaifu ya kibinadamu sikatai lakini kwa kupingwa na kukosolowa huku it is too much ..Haikubaliki
 
Wewe umeshindwa kutoa mfano wa zuri lililokosolewa, unataka tujadili nini?

Ninachokijua mimi watu hukosoa mabaya, na hawawezi kukosoa mazuri. Nimetaka utoe mfano wa zuri lillilokosolewa umeshindwa. Sijadili hewa.

Mazuri yatasifiwa, mabaya yatakosolewa. PERIOD!
 
kuna binadam wanakosoa uwepo wa mungu wazwaz sembuse mkulu, af tabia ya kusifia kila kitu hata akikosea sio nzur, kuhusu ufisad soma ripot ya CAG utaona kama mafisad watachukuliwa hatua zozote
 
kuna binadam wanakosoa uwepo wa mungu wazwaz sembuse mkulu, af tabia ya kusifia kila kitu hata akikosea sio nzur, kuhusu ufisad soma ripot ya CAG utaona kama mafisad watachukuliwa hatua zozote
 
Back
Top Bottom