Wenye busara-leo Daktari Slaa katishaaa.
Jamani kwanini kila anachosema Lowassa lazima kifafanuliwe na wapambe wake? Ameongelea kuwatoa Babu Seya na Masheihk, haijapita siku wapambe wameshakuja na tafsiri tofauti. Akaja kuongelea kufuta JKT, mara tena wapambe hao wamekuja kufafanua na kusema kuwa watu hawakumuelewa. Sasa nauliza hivi huyu ni 'Rais' gani ambaye hata hajui msimamo wa sera zake mpaka wapambe ndio waje kufafanua? Hivi kweli anaweza akawa mzima kweli kiakili kukabiliana na hili wimbi la uchaguzi. Aiseee haya sio maneno yangu, lakini Slaa ametaka "Lowassa akapimwe akili". Nyie mnaonaje?
Slaaa katishaaaaaa