Kwanini Kenya wanapenda sifa sana?

True but before this dream to be true we need to kick off CCMizi,other wz nothin nothin,nothin wll b true.CCMizi SHOULD GO 1st

Sio CCM peke yake; binafsi naamini tatizo kuu la Tanzania ni ufisadi ambao upo kila sehemu....in short, Watanzania ni mafisadi wa kutupwa na kuondoka kwa CCM peke yake haiwezi kuwa dawa wakati sehemu kubwa ya jamii imeharibika! Ikiwa hata viongozi wa dini nao ni wauza madawa ya kulevya; umeshapata kufikiria tunaogelea kwenye jamii ya aina gani?! Ni jamii yenye uovu na ukosefu mkubwa wa maadili....there4, iwe CCM, CHADEMA ama chama chochote, kamwe ufisadi hauwezi kwisha especially under the so called katiba inayojali UTAWALA BORA NA UTWALA WA SHERIA!
 

Ewe Mzazi wangu,
Lazima nikubaliane nawe kwamba wakati wa kumlaumu Nyerere umepita lakini vile vile itakuwa si haki kueleza hali ya kiuchumi wa Tanzania bila kutaja awamu ya kwanza!! Baba angu; nafahamu wazazi wengi hampendi kusikia mtu akisema baya kuhusu utawala wa Nyerere, lakini hilo katu haliepukiki kwanini misingi ya nchi hii inatokana na utawala wa awamu ya kwanza! Mwalimu alikaa madarakani miaka 24 hivyo miaka yake madarakani ilikuwa na impact kubwa sana politically, economically and even socially!! Mbona tunapotaka kuzungumzia hali ya utulivu na mamani nchini tunapenda ku-refer mazuri yaliyofanywa na utawala wa Mwalimu lakini tunapotaka kuzungumzia mengine mnatukanya tusiwasemange marehemui?! Hebu nijuze babangu kutkana na busara ulizonazo kama mzazi!

Tukirudi kwenye suala la Ujamaa; si kwamba nasema matatizo yalitokana na mfumo wa Ujamaa bali ile hali ya kufanya njia kuu za uchumi kuwa fully controlled by the government na matoke kukawa hakuna efficiency kwenye sekta mbalimbali za kiuchumi. Na ndio maana nikasema ingawaje KANU ilikuwa ni SOCIALIST part part lakini Kenyatta ali-practice mixed economy ili kuongeza efficiency kwenye sekta ya uchumi!!

Baba, na wale wenzako wote ambao mnaamini kwamba wakati wa Nyerere mambo yalikwa safi naomba niwaulize jambo moja:
ASSUME panatokea muujiza ambao Mungu anaamua kusimama at a certain point in Tanzania ambapo anaweza kusikika na kuonekana na kila MTanzania na kisha Mungu huyo akaongea kwa lugha itakayoeleweka na kila mtanzania; kisha akasema"

ENYI Watanzania, nawapa uwezo wa kuchagua mkitakacho.

1. Ama, nii-rewind Tanzania hadi back 1985 to the point kwamba Wote mliopo leo hii muwepo hiyo 1985 BUT economic status ya Tanzania isiwe hii ya 2012, bali iwe kama ilivyokuwa 1985!!

2.Option nyingine ni kwamba Tanzania ibaki kama hivi ilivyo 2012X

Naamii mzazi wangu utakuwa fair kwa mie kijana wako....mzazi mwenye busara ni yule asiye tayari kumwongopea mwanae! Je babangu, ungechagua lipi kati ya hayo?! Hivi kweli kutakuwa na Mtanzania yeyote atakayetaka TZ iwe rewinded back 1985?! Am afraid nobody, labda Kingunge ili arudi zama za CHAMA KUSHIKA HATAMU!!!
 

MWALIMU bora ni yule anayefahamu uelewa wa wanafunzi wake.....kama nimeshawagundua kwamba hamuelewi basi sina namna nyingine zaidi ya kuwatolea mifano itakayoendana na uelewa wenu!!

Kwamba Kenya wanaamini Moi aliharibu; sina shaka na hilo kwahiyo hilo haliwezi kuwa taarifa yangu kwani nimeshalieleza kabla! Hata hivyo, pamoja na kuharibu kwa Moi, lakini miundo msingi ilibaki vile vile na kama angeharibu to the point where TZ ilikuwa 1985; basi hata huyo Kibaki leo hii angeanza kwanza na ujenzi wa miundo msingi kama vile barabara na wala asingefikiria hilo suala la 5 fibre optical cables, flyovers, na mambo mengine kama hayo!

Unauliza akiba ya Taifa ilikuwaje wakati Mwinyi anaingia!!!! Usitake kuchjekesha wasiotaka kucheka! Nchi haikua na chochote cha kujivunia na kama kilikuwapo basi kulikuwa na udhaifu mkubwa katika matumizi yake! Nchi haikuwa na huduma kadhaa muhimu; kiasi kwamba ulanguzi ulikuwa kila mahala!! So, how come nchi yenye akiba ya kutosha isiwe na bidhaa muhimu?!
 
spare me with your "empty nothings". An objective persons should concentrate on what should be done rather than who did what wrongs?!! crazy so what!! Continue with your "history" class and choose your target group wisely!! good luck
 
kaka mbona kama sikusomi! ama umekosea kuwakilisha?
amekosea nini...iyo ni comparison ndogo tu na ya harakaharaka kati ya tz na kenya kwenye sector tofautitofauti....sisi tunaridhika na mkonga mmoja wa taifa wakati nchi kubwa hii
 
I ADORE MWAI-KIBAKI, HE DOES HIS THINGS BY ACTIONS!! NOT by words, kama ilivyo origin ya watu wa pwani! nonsense!
 
Uwepo wa CCM ndiyo unaozuia maendeleo katika nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…