Habari wakuu
Kumekuwa na tabia ya kudharau kazi za IT katika makampuni mbalimbali hata Telecom wakati ukiangalia IT ndio backbone ya business katika iyo kampuni.
Unafikiri tatizo ni nini haswa? Maana kwa wenzetu ulaya au kampuni za wazungu naona hakuna hii tabia