Kwanini Kampuni nyingi zinatumia mtandao wa Vodacom

Kwanini Kampuni nyingi zinatumia mtandao wa Vodacom

Nina wiki ya 2 sasa naitumia voda ila sijaona Kasi yoyote Kwa sisi watu wa kushinda barabarani haifanyi poua...Yani ukiwa kwenye motions network inakuwa haisomi...hata ukitumia Google maps gps inapoteza signals​
 
Wanao lalamika network ya vodacom haiko stable waanze kuangalia aina ya simu wanazo tumia kwanza.
Kama una simu nzuri Vodacom iko vizuri, ukijumlisha na features nyengine wako juu sana kuliko mitandao mengine ya Tanzania.
Sio agent wa vodacom lakini nishatumia mwaka wa 10 huu.
 
Mitandao Yote Ni Bora kulingana na mahali ulipo ila voda inakubalika zaidi kwa sababu kuu tatu:

1. Ni mtandao uliosambaa maeneo mengi zaidi Kuliko mingine.

2. Pesa zinakuwa salama zikiwa katika MPESA Kuliko mitandao mingine.

3. Customer care ipo Very professional ukilinganisha na Airtel, halotel n.k

Ushauri:
Ni vyema uwe na kadi za kampuni zote ili yeyote akizingua unabadili mitandao
 
Wakuu, Nimefatilia kampuni nyingi na Kubwa zinatumia mtando wa Vodacom, Kuna siri gani juu ya mtandao huu?

Na je, uchaguzi wa main number kwa Kampuni unazingatia vigezo gani?

What vodacom can offer than others? What is so special about Vodacom?
Vodacom ni malobist wazuri kwa corporate clients.

Miaka ya nyuma wakati natumia line ya Vodacom nakumbuka wateja wazuri tulikuwa tunapigiwa simu na kwenda kwenye minuso yao ambayo inaandaliwa ofisini.

Halafu kingine makampuni makubwa ni wateja corporate ambao kwenye post paid service wanawekewa package nzuri.

Kikubwa kuliko yote kwenye telecommunications industry Voda ilijitahidi kupata wafanyakazi wanaofit bila kusahau Rostam Aziz alikuwa share holder mkubwa wa Vodacom.
 
Mitandao Yote Ni Bora kulingana na mahali ulipo ila voda inakubalika zaidi kwa sababu kuu tatu:

1. Ni mtandao uliosambaa maeneo mengi zaidi Kuliko mingine.

2. Pesa zinakuwa salama zikiwa katika MPESA Kuliko mitandao mingine.

3. Customer care ipo Very professional ukilinganisha na Airtel, halotel n.k

Ushauri:
Ni vyema uwe na kadi za kampuni zote ili yeyote akizingua unabadili mitandao
Asante kwa Ushauri mkuu
 
Ndo wakwanza kuwa na mobile money.
binafsi naweza kusema pamoja ya kuwa Vodacom ni mtandao ambao gharama zake zipo juu lakini ni mtandao ambao network yake upande wa data na kupiga simu ipo stable, pia customer service yake ipo vizuri sana kwenye kuhudumia wateja
Kwa kweli pamoja na Kuwa na Bei ya data ila still iko stable sana
 
Back
Top Bottom