Kwanini kambale anazo sharubu?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
419
Wakuu kuna hoja fupi sana hapa, tunajua kuwa viumbe vyenye ndevu au masharubu ni vinne tu yaani, binadamu, paka na mbuzi pekee, sasa inakuaje samaki aina ya kambale anaota sharubu? Kama binadamu?

Mwenye uelewa anijibu hapa.
 
kambale ana ndevu kwa sababu sangara hana! teh teh teh! simple answer to difficult questions,
 
kambale ana ndevu kwa sababu sangara hana! teh teh teh! simple answer to difficult questions,

mkuu kwani kuna uhusiano wowote kati ya kambale na sangara mpaka waliingishiane ndevu?
 
Maswali Mengine Bhana! Swali Lako Halina Tofauti Na Kuuliza Hivi Kwanini Binadamu Ana Mavuzi Lakini Mbuzi au Tembo Hana?
 
Daaaah...nimecheka mpaka basi...maswali mengine bhana...
 
Kambale ni binadamu anayeishi au kukaa majini
 
Kambare ana vinasaba vya paka na ndio mana hata ladha zao ziko sawa.
 
Kambale anasharubu kwa sababu
anasharubu
 
Mhh!,mwisho tutaulizwa kwa nini baba zetu wana meno humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…