Pyepyepye
JF-Expert Member
- Jan 6, 2017
- 1,940
- 3,842
Habari wanajamvi.
Ni imani yangu kuwa mu wazima wa afya. Naja kwenu nikiwa na imani na jukwaa hili, kwa imani hiyo naamini mtanisaidia kuondoka katika mtanziko huu.
Naomba kuelimishwa juu ya jambo hili la kamba za viatu, mara nyingi hata kama ninakua nimefunga na kukaza kiasi gani, bado nikifanya mizunguko kadha wa kadha, utakuta kamba za viatu zinalegea ama kufunguka kabisa.
Naomba kuwasilisha.