Mshambuliaji
Senior Member
- Jul 9, 2017
- 132
- 79
Wewe unatumia vigezo gani kuonyesha kuwa Tanzania haiendelei?Tena mara nyingi unajinasibu kwamba unajua mambo ya uchumi, hivi kuendelea ni kuendelea tu bila hata kuwa na vigezo vya kupima hayo maendeleo? Hivi hakuna sababu ya sisi kuitwa nchi za dunia ya tatu ama nchi maskini duniani?
Mfano ili ujue mtoto wako anakuwa si lazima kuwe na vigezo vya kupima ukuaji. Ongezeko la miaka, ukuaji wa mwili, uimarikaji wa akili, mabadiliko ya mwili na kadhalika. Yaani sisi tuendeleka kwa kuona kwamba tulikuwa na barabara mbili sasa tunazo saba bila kuwa na kipimo kuwa zinatakiwa barabara ngapi?
Kama kulipa kodi hatuwezi..tunakuwa ombaomba ili kujazia kwenye kodi maendeleo yatatoka wapi..??
Vyote ulivyotaja elimu,afya,miundombinu vinahitaji hela...kama kodi hatulipi vitatoka wapi??
Nitajie nchi moja iliyoendelea ambayo watu hawalipi kodi kama Tanzania...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ni kweli mkuu ukila wali maharage, tumbo likajaa kama gozi la football ndio maendeleo hayo,
Acha tuendeleee kusindikiza maendeleo
Hahaaa kigezo cha ukuaji wa mtoto ni ongezeko la miaka?? Really????? Like seriously!!!!!!!??????Tena mara nyingi unajinasibu kwamba unajua mambo ya uchumi, hivi kuendelea ni kuendelea tu bila hata kuwa na vigezo vya kupima hayo maendeleo? Hivi hakuna sababu ya sisi kuitwa nchi za dunia ya tatu ama nchi maskini duniani?
Mfano ili ujue mtoto wako anakuwa si lazima kuwe na vigezo vya kupima ukuaji. Ongezeko la miaka, ukuaji wa mwili, uimarikaji wa akili, mabadiliko ya mwili na kadhalika. Yaani sisi tuendeleka kwa kuona kwamba tulikuwa na barabara mbili sasa tunazo saba bila kuwa na kipimo kuwa zinatakiwa barabara ngapi?
mzee idadi ya watu ni kizingizio tu kinachopendwa,idadi ya watu china enzi za 1800-1900 ilikuwa ndogo ukilinganisha na ilivyo hivi sasa lakini cha ajabu uchumi wao unazidi kukua,nigeria nayo ndo yenye idadi kubwa ya watu kwa nchi za afrika na uchumi wao pia umekuwa,bado hatujafikia iwezo waku exaust resources tulizonazo,tatizo liko kwenye mipango,kwa mfano dar es salaam kama ingalikuwa imepangwa na kujengwa vizuri mji mzima na kukawa na mipango endelevu ingeweza kabisa kumudu idadi ya waliopo na zaidi,lakini mji wenyewe umekaa hovyohovyo,barabara mbovu,ujenzi wa kiholela lazima kutokee mlundikanoHutuwezi kupanga chochote na kufanikiwa bila ya kupunguza kuzaliana hovyo, hakuna mahali tutaenda, hivyo hatua ya kwanza ni uzazi wa mpango!
Tatizo kubwa linalotukabili ni;Taifa huendelezwa na watu wake kwa kutumia maarifa waliyo nayo pamoja na Juhudi ya kufanyakazi kiubunifu kwa kuongozwa na sera za kisiasa zinazoeleweka. Mwalimu aliwahi kusema kwamba ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, watu, Ardhi, Siasa safi na uongozi bora.
Kwa hali yoyote ile "Maendeleo" tuliyonayo inawezekana kabisa hayalingani na miaka ya Uhuru wa nchi yetu pamoja na idadi ya watu iliyopo. Ukitaka kuona ni kwa kiwango gani tuna umaskini angalia kiwango cha huduma za kijamii zinazotolewa kwa watanzania.
Ukiangalia miundombinu ya Afya, Elimu,Usafiri na usafirishaji,sayansi na teknolojia pamoja na mifumo ya kuendeshea mambo yetu jinsi ilivyo, bila ya shaka kuna ishara kwamba kama taifa bado tupo nyuma kimaendeleo.
Kama taifa tatizo letu ni lipi hadi hatua za maendeleo tunazozipiga inakuwa kama vile tunatembea kwa mwendo wa Konokono?
mzee idadi ya watu ni kizingizio tu kinachopendwa,idadi ya watu china enzi za 1800-1900 ilikuwa ndogo ukilinganisha na ilivyo hivi sasa lakini cha ajabu uchumi wao unazidi kukua,nigeria nayo ndo yenye idadi kubwa ya watu kwa nchi za afrika na uchumi wao pia umekuwa,bado hatujafikia iwezo waku exaust resources tulizonazo,tatizo liko kwenye mipango,kwa mfano dar es salaam kama ingalikuwa imepangwa na kujengwa vizuri mji mzima na kukawa na mipango endelevu ingeweza kabisa kumudu idadi ya waliopo na zaidi,lakini mji wenyewe umekaa hovyohovyo,barabara mbovu,ujenzi wa kiholela lazima kutokee mlundikano
Mleta mada hajielewi dunia nzima hata ulaya Na marekani wageni hupora fursa maeneo ambayo wenyeji wamelala Ndio maana kuna wazamiaji mamilioni wanaotaka kuzamia marekani na ulaya sababu wameona kuna fursa ambazo wenyeji wazawa hawazioni au wanazidharau wakati zina pesa kibaoThe National average IQ is below 50! So sad!
If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
Utasubiri Sana Kama unataka chama kikusaidie bilionea bakhresa na Reginald mengi hajawezeshwa Na chama Chochote endelea kusubiri chama utakufa lofaTaita hili litasonga mbele pale chichiem ikatapo toka kwenye uongozi
Ova
mkuu china watu wameongezeka since the 70s,kidogo population growth imeanza kupungua hivi sasa,mji kama shanghai na guangzhou ina watu wengi kuliko maelezo lakini wote wanapata huduma zote za kijamii na hakuna usumbufu wowote wa foleni.Uchina ilikuwa na matatizo ya umaskini kama yetu mpaka walipoamua kupunguza watu, mpka miaka ya 70' Uchina ilikuwa masikini kama Tanzania!
Nigeria ina watu masikini klk Tanzania, na sababu kubwa ni population explosion, yaani ukuwaji wa Uchumi hauendani na ongezeko la watu!
mkuu china watu wameongezeka since the 70s,kidogo population growth imeanza kupungua hivi sasa,mji kama shanghai na guangzhou ina watu wengi kuliko maelezo lakini wote wanapata huduma zote za kijamii na hakuna usumbufu wowote wa foleni.
Tatizo lililopo kwetu ni kutokuwa na matumizi sahihi na endelevu ya resources zetu,sio overpopulation
Hapo nimekuelewa ,ongezeko la watu linatakiwa liendane na pace ya ukuwaji wa uchumi,sasa mkuu inaonekana wazi kudhibiti ongezeko la watu kwetu ni jambo gumu,sasa nini kifanyike ili tu circumvert hili tatizo,je tuzidishe kasi ya maendeleo ili kwenda sawa na kasi ya ukuaji wa idadi ya watu ama tufanyejeHaujaelewa ninachomaanisha, Idadi ya watu ni lazima iendane na ukuwaji wa Uchumi, sasa Uchina ina watu wengi lkn hawaongezeki yaani idadi ya wanaozaliwa inalingana na wanaokufa hivyo kunakuwa na Balance!
Lkn kwetu wanaozaliwa ni wengi klk wanaokufa, na hii inapelekea kukuwa kwa uchumi kupoteza maana, na ndiyo maana unaona uchumi unakuwa lkn wengi hawafikiwi kwa maana watu pia wanaongezeka, ndiyo maana nchi zilizoendelea hazina ongezeko kubwa la watu kama sisi!
Kwanza sijakujibu kwa kejeli lakini pia nimegundua watanzania husoma jambo tukiwa tayari na majibu yetu kichwani.Wewe unatumia vigezo gani kuonyesha kuwa Tanzania haiendelei?
Halafu mbona unapenda kunijibu kihasira na kejeli, siyo lazima wote tuwe CHADEMA usipende sana kuwa kwenye vyama vya siasa.
Kama taifa tatizo letu ni lipi hadi hatua za maendeleo tunazozipiga inakuwa kama vile tunatembea kwa mwendo wa Konokono?
Mmmmmm ongezeko la watu ni opportunity kwa mfanyabiashara yeyote Maana soko la nguo za watoto, maziwa Ya watoto na baby products litakuwa kubwa mno hence kodi kubwa kwa serikali itakayoingia. Population is not a problem inategemea unatazama from which angleHapo nimekuelewa ,ongezeko la watu linatakiwa liendane na pace ya ukuwaji wa uchumi,sasa mkuu inaonekana wazi kudhibiti ongezeko la watu kwetu ni jambo gumu,sasa nini kifanyike ili tu circumvert hili tatizo,je tuzidishe kasi ya maendeleo ili kwenda sawa na kasi ya ukuaji wa idadi ya watu ama tufanyeje