hujui, sisonje anazijua starehe balaa, sema alichelewa kuja mjiniBora Kagame anapiga kazi kwa ajili ya nchi yake uchumi unasonga mbele pamoja na limited resources alizo nazo, kuliko kiongozi asiyejua hata starehe akiamini watu wanaokula raha ni wezi na uchumi wa nchi yake unadorora Mabenki yanafirisika soko la hisa linaporomoka huku nchi ikiwa katika woga wa ajabu
Fungua link hii uone jinsi kagame alivyo katili na anavyo penda starehe, pia asivyo jali shida za wengine,
Moja ya walinzi na dereva anaelezea
Nimetuma link baada ya page kuzuia content usizikopi.
Paul Kagame Rwanda President Wealth - African Millionaires and Entrepreneurs
Utatupeleka kwenye kimbari au, halafu hatuogopi sema tu tunakuheshimuKuwa MWANGALIFU SANA NA MASUALA YAHUSUYO RWANDA, WANYARWANDA NA HASA HASA RAIS PAUL KAGAME. NAOMBA HILI LIWE ONYO KALI KWAKO NA KWA WALE WOTE MNAOIANGALIA RWANDA NA RAIS KAGAME KWA JICHO LA CHUKI / HUSUDA. TUMEWAVUMILIA VYA KUTOSHA NA SASA TUMEWACHOKA!
Anaogopwa na viongozi wenzake waoga,mbona jk alikua anampa ngeu tu.
Utatupeleka kwenye kimbari au, halafu hatuogopi sema tu tunakuheshimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio yup huyoUnazungumzia kagame wa wapi???maana hapa tz yupo kagame pia
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Unazungumzia kagame wa wapi???maana hapa tz yupo kagame pia
Wewe ndio uliwasindikiza au kuwapokea airport hao uliowataja au kupenda sifa tu,wewe na wahutu wenzako ndio mumuogope kwa jinsi anavyowanyoosha na tena usipende kumlinganisha JK na vitu kijingajinga,ukome
Ficha upumbavu wako nani asiyejua Rwanda wewe mmejazana hapa Tanzania na hamna uraia kila siku mnakuja kuomba uraia hadi nashangaa huko mnakokusifia mbona mnapakimbia.Kama alimpiga ' ngeu ' kwanini JK aliwatuma akina Mzee Mwandosya, Butiku na baadae Mzee Mkapa kwenda Kigali kuzungumza na Rais Kagame ili yaishe? Ama kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Jaribuni basi ' kutuchokonoa ' tena Rwanda mkipate mnachokitafuta ili mtuheshimu vizuri. Hamfanyi Kazi ili muondokane na ' umasikini ' wenu uliowajaa hadi katika ' Kope ' zenu za macho kazi kutwa kuizungumzia tu nchi ya Rwanda, Wanyarwanda na Rais wetu Mpendwa Paul Kagame.
Chezeeni kote ila siyo Republic of Rwanda.
Ninadhani jamaa huyu aidha yuko frustrated au ni siasa kwani yote aliyoandika ni kawaida kwa viongozi wengi duniani???Fungua link hii uone jinsi kagame alivyo katili na anavyo penda starehe, pia asivyo jali shida za wengine,
Moja ya walinzi na dereva anaelezea
Nimetuma link baada ya page kuzuia content usizikopi.
Paul Kagame Rwanda President Wealth - African Millionaires and Entrepreneurs