Juzi tulishuhudi Magari ya Kijeshi yakiwa yamebeba wanajeshi yakirandaranda mtaani kwa nia ya kudhibiti vurugu za waislamu!Lakini swali nikwamba Jeshi la polise limeanza kuingiwa baridi na kuomba Manpower??Maana Kamanda kova aliuliswa na BBC kuhusu jeshi kuhusika kudhibiti vurugu akakana kwa kusema hajui kama na wao walikuwa kwenye hiyo operation ila yeye anasemea upande wapolisi!!!
Mimi nauliza je tumefikia hapo??Inamaana uwezo wa polisi wamefikia hapo!?
Message is very clear and loud!
Kuna uzembe mkubwa katika kukabili wachafuzi wa amani ambao wanafanya vitendo vya kuidhalilisha serikali mchana kweupe.
Watu wana lazimisha kuandamana katikati ya jiji la DSM hadi makao makuu ya polisi aliko Saidi Mwema, na kudai wahalifu waachiliwe, na wanaachiliwa!
Uchomaji wa makanisa kwa zengwe la kutungwa kwa hila li kupata sababu ya kuleta vurugu nchini.
Watetezi na wanasiasa tuliowaamini wakujiumauma midomo kuchukua hata madhubuti kuzuia au kukemea vitendo hivyo.
Gaidi Ponda kujinafasi kwa kutoa matamko ya kichochezi mwaka mzima bila kuchukuliwa hatu yoyote.
Radio Annur na zingine za kiislamu kuendelea kutoa uchochezi bila kuchukiliwa hatua yoyote
Kwa mlolongo wa matukio hayo ni wazi polisi sasa wamekuwa compromised ha ni kama mbwa anayejua kubweka lakoni hana meno.
Hao waandamanaji si wanapajua makao makuu ya jesji Upanga?
Waandamane kwenda pale na waone kilichomg'oa kanga manyoya!
Kwamba jeshi, tegemeo la mwisho katika usalama wa nchi wameamua kuingilia kati vurugu hizi za waislamu is welcome news.
Hata hivyo waliokabidhiwa usimamizi wa hali ya kisiasa na usalama wa nchi hawajafnya vizuri so far!
Haya yote ni matokeo ya uzembe na kutotilia maanani umoja na mshikamano ulioachwa na waliotangulia kiuongozi.