Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
- Thread starter
-
- #41
Siungi mkono Afrika Mshariki kwa sababu Tanzania tutaishia kuwa losers Kenya wale wanataka ardhi na masoko dhidi ya bidhaa zao Burundi, Rwanda na Uganda wanataka ardhi je sisi tutapata nini? hakuna kitu ila kupoteza kila kitu
Wakati europen Union inaanzishwa na Ufaransa, Ubelgiji, Luxernburg, Ujerumani, na Uholanzi Uingereza ilizuiliwa kuwa iko too developed maana hizi nchi zingine viwanda vyake vilikuwa vimeharibiwa na vita kuu ya pili ya dunia Uingereza imekuja kuwa registerd mwaka 1977 nayo kwa kulipa kisasi ikakataa kudisolve pesa yake pia nchi zingine zimekuja baada ya kutimiza madharti na kuwa tayari.
Kwa muungano ule nchi za magharibi zinauza bidhaa nchi za mashariki kwahiyo zina soko hapo na nchi za mshariki zinatoa cheap labor wafanyakazi kwa lugha nyingine wananchi wa nchi za mashariki wanapata ajira nchi za magharibi kwahiyo mambo ni win win situation lakini kwetu sisi Tanzania kuna mtanzania anaweza pata kazi kenya? Kuna mtanzania anaweza pata ardhi Kenya? Je kuna bidhaa za Tanzania za viwandani zinaweza kuuzwa Kenya? ukiacha mazo ya chakula? kwanini tuwe na muungano ambao ni one way traffic? Hapo sijaongelea kuwa treated kama second citizen maana makenya ni mabaguzi kishenzi
Kulikuwa na Amavubi, The Cranes, Inghamba Murugamba, The Cranes na Harambee Stars. Unataka wampe nini tena mtu anaye penda 'michezo'?
Well say ChaMoto: EAC is another side of the coine but ZZB is almost the same side of the coine according to the historical events.Kwa suala la EAC kwa kweli Jk na Sitta wanajaribu sana kutetea masirahi ya waTZ, hapo tukubali
Kwa muungano na ZNZ, ni kitu tofauti na EAC, ndio maana ni rahisi kuwapa ardhi au kukubaliana masuala ya kisiasa na ulinzi na ZNZ kuliko kufanya hivyo na Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi,
na ndo hoja ya thread yako na bora umejidhihirisha baada ya kukosa utetezi katika uzi wako. jaribu kuangalia madhara yake kitaifa zaidi na uweke dini pembeni ndo utaona ugumu unaokuja katika suala la ardhi pamoja na ukristu wako. sidhani kama hao wakenya, uganda na rwanda wanafikra mgando za kidini zaidi ya maslahi yao binafsi au ya taifa lao. udini ....... udini...... udini ........ utakupeleka pabaya. kumbuka shirikisho kama hilo lilikuwepo kabla na lilikufa kifo cha mende na yawezekana 7bu ya mapungufu ya huo mkataba kama unavyotaka kutuaminisha eti tujiunge tu 7bu walioko watakufa lkn unasahau kuwa mkataba huo wa kijinga utaendelea kuwepo.EAC kama shirikisho itakuja upende au usipende baada ya hawa mafisadi kuilmaliza kugawana hii ardhi............na hoja ya ardhi itakapokuwa haipo............kama kweli JK ndiyo salama ya wanyonge huu umasikini mbona unaongezeka wakati wa kipindi chake?
kila kitu bei mbaya ...........kuanzia mfumuko wa bei....n.k................................JK anaiogopa EAC siyo kwa sababu za kiuchumi kama unavyodhani bali kwa sababu aona wakristu watawafunika waislamu..............................hiyo ndiyo hoja yake.......
Maraisi wote wa EAC walituma wawakilishi tu kwenye miaka 50 ya uhuru ambayo JK aliikuza sana kulikoni stahili yake.................kwa khali ya umasikini tulionao swali la msingi hizo hela za sherehe zingeliweza kupunguza makali ya uhafifu wa huduma nyingi kwenye jamii yetu....................................
kwa mtanzania wa kawaida anayeishi kwa mlo mmoja kwa kutwa...................................alishindwa kuelewa hivi hawa wanapongezana kwa kunifukarisha au kwa wao kunufaika na uhuru tajwa pekee yao............................mahudhurio ya sherehe tajwa mikoani ni kipimo kuwa raia hatuoni manufaa ya uhuru kwetu........................Dar mahudhurio yalishamiri kwa sababu wengi wao ni wazururaji na hawana shughuli ya kufanya...........................na baadhi yao walitarajia hata kupata peremende lakini baada ya hafla kuisha wakubwa walitokomea Ikulu pekee yao kwenda kupongezana na kuwaacha wenye viherehere (kama Jk ambavyo amekuwa akitukandia)........................wakizubaa kutafuta usafiri wa kurudi makwao.................huku wengi wao wakikanyaga kwa mguu.............................
pengine kubwa kuliko yote ni nini nafasi ya miaka 50 ya uhuru katika muungano wa EAC....................ikumbukwe mwaka 1961 Nyerere alidiriki kudai ya kuwa alikuwa yuko tayari kuchelewesha uhuru wa Tanganyika kama itasaidia kuunda shirikisho la EAC.............
warithi wa Nyerere ambao hata yeye mwenyewe alikuwa gwiji wa kuwavika vilemba vya ukoka...................pale aliposema ya kuwa kiongozi aweza kutoka popote pale bali kiongozi wa kutumainiwa atatoka ndani ya ccm............................ninafikiri huko aliko atakuwa amepigwa butwaa..............................kumwona JK vile anavyoidhoofisha EAC...........
ilipokuja shirikisho la kisiasa JK alidai wananchi wauulizwe.........................yeye kama kawaida yake aliunda tume ya kukusanya maoni ambayo matunda yake hakuna anayeyafahamu...........................inapokuja muungano feki wa tanganyika na zenji............................huko hataki kusikia wananchi wanashirikishwa katika kutoa maoni yao kama hata wanauhitaji muungano wenyewe...................................hudai suala la muungano halijadiliwi........................lakini lile la EAC lazima lijadiliwe........................double standards? you can say that again.................
viongozi wote ndani ya EAC wanajua JK is not part of the solution...............................but he is a problem................................na ndiyo maana hata kwenye miaka 50 ya uhuru wamemkwepa kwa kumtumia wasaidizi wao tu.............................kwa matumaini ya kuwa after JK...................................some sensible tanzanian will take over the reins of power...........................na kuufanya uhuru wetu kuwa na maana hata kwao wa Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi..........................kwa mazingira ya sasa JK ni "Dr. NO" katika masuala ya shirikisho la EAC..............................................ikija masuala ya ardhi JK anatetea mipaka iliyowekwa na mkoloni...........................bila ya kujua hiyo mipaka iliwekwa ili kutudhoofisha..................lakini yeye kwa sababu ya uroho wa madaraka anaona aitetee kulinda kitumbua chake ambacho kitafikia ukomo wake hivi karibuni.............by grace of the living GOD..........
TZ tukubali au hata tusipokubali na wavivu wa kufanya kazi................................na mvivu siku zote atatawaliwa na yule mchapakazi...................usichojua ni kuwa uchumi wa TZ nchi inayoongoza kuwekeza ni Kenya halafu UK inafuata.................na uwekezaji huu unahusisha moja kwa moja umiliki wa ardhi..............................kwa hiyo uwapende usiwapende Kenyans are here to stay and rule over the lazy TZ...............................shirikisho kulikubali au kulikataa siyo ufumbuzi............................utashangaa ukienda pangani na karibu maeneo mengi ya mpaka wa Kenya jinsi wakenya ambavyo tayari walikwisha kuhamia siku nyingi..................................EAC haikuweza kuwakwamisha...................tafuta hoja nyingine hizi ni hoja simuliwa tu....
..@Red, Mkuu sasa naona unaanza kutoka nje ya Mada, hivi hapa hoja ya Ukristu na Uislamu katika EAC inatoka wapi, na kama tunaye Rais ambaye anaamini haya unayoamini basi tuna safari ndefu.EAC kama shirikisho itakuja upende au usipende baada ya hawa mafisadi kuilmaliza kugawana hii ardhi............na hoja ya ardhi itakapokuwa haipo............kama kweli JK ndiyo salama ya wanyonge huu umasikini mbona unaongezeka wakati wa kipindi chake?
kila kitu bei mbaya ...........kuanzia mfumuko wa bei....n.k................................JK anaiogopa EAC siyo kwa sababu za kiuchumi kama unavyodhani bali kwa sababu aona wakristu watawafunika waislamu..............................hiyo ndiyo hoja yake.......
EAC kama shirikisho itakuja upende au usipende baada ya hawa mafisadi kuilmaliza kugawana hii ardhi............na hoja ya ardhi itakapokuwa haipo............kama kweli JK ndiyo salama ya wanyonge huu umasikini mbona unaongezeka wakati wa kipindi chake?
kila kitu bei mbaya ...........kuanzia mfumuko wa bei....n.k................................JK anaiogopa EAC siyo kwa sababu za kiuchumi kama unavyodhani bali kwa sababu aona wakristu watawafunika waislamu..............................hiyo ndiyo hoja yake.......
Kwahili naweza kumtetea JK kwamba hakubaliki na hii ni kutokana na yanayoendela katika shirikisho, ikumbukweTanganyika inaonekana kama lulu miongoni mwa nchi za ukanda huu wa Afrika Mashariki, sasa kwa hayo yaliyojiri juzi kati wakati wa utiaji sign wa mkataba ambapo Tanganyika chini ya Samweli Sita waligoma mpaka baadhi ya vipengele vilipowekwa sawa umewakasirisha hawa jamaa!
walitegemea turuhusu ardhi yetu iwe yao, siasa na hata majeshi kitu ambacho kingetugharimu
Nimshukuru binafsi kwa mara ya kwanza JK kwa kutowapa vilaza hii wizara ya Afrika Mashariki maana naamini wangekuwa ni Malima,Kombani,Ngeleja, Nchimbi,Sofia simba, wamekamata hii wizara wangesign haraka haraka maana ni vihiyo watupu
Umeongea vitu vingi lakini hii point uliyokazia ndio imefanya nidharau kila kitu kuhusu wewe....
nakubaliana nawe 100%. Ardhi yetu inawatoa udenda nchi wanachama EAC hasa Kenya. Kwa hili nami nawapongeza rais JK, PM Pinda & waziri/ naibu wake ktk kuwa na msimamo juu ya hili. Ardhi ni ya watz, si vinginevyo. Bravo Tz!
mengine tutakubaliana ila likiaj suala la ardhi ..nope ..JK yupo right pamoja na sitta wake
nakubaliana nawe 100%. Ardhi yetu inawatoa udenda nchi wanachama EAC hasa Kenya. Kwa hili nami nawapongeza rais JK, PM Pinda & waziri/ naibu wake ktk kuwa na msimamo juu ya hili. Ardhi ni ya watz, si vinginevyo. Bravo Tz!
..@Red, Mkuu sasa naona unaanza kutoka nje ya Mada, hivi hapa hoja ya Ukristu na Uislamu katika EAC inatoka wapi, na kama tunaye Rais ambaye anaamini haya unayoamini basi tuna safari ndefu.
na ndo hoja ya thread yako na bora umejidhihirisha baada ya kukosa utetezi katika uzi wako. jaribu kuangalia madhara yake kitaifa zaidi na uweke dini pembeni ndo utaona ugumu unaokuja katika suala la ardhi pamoja na ukristu wako. sidhani kama hao wakenya, uganda na rwanda wanafikra mgando za kidini zaidi ya maslahi yao binafsi au ya taifa lao. udini ....... udini...... udini ........ utakupeleka pabaya. kumbuka shirikisho kama hilo lilikuwepo kabla na lilikufa kifo cha mende na yawezekana 7bu ya mapungufu ya huo mkataba kama unavyotaka kutuaminisha eti tujiunge tu 7bu walioko watakufa lkn unasahau kuwa mkataba huo wa kijinga utaendelea kuwepo.
Kuna siku nimetelemka Jomo Kenyata wakati niko passport control on EAC/SADC queue nikaona immigration ofcer upande wa Kenya citizens hakuna mtu... Nilipoenda akagoma kunigongea pasipoti akajibu 'hapa wakenya' nikasema hata hivyo hawapo akanijibu 'nitawasubiri'.
If on the ground we dont feel for one another then EAC will not be people centered.
Kenyans and Ugandans see Tanzania nationals kuwa second best. Na ule utaratibu wa kupeleka watoto wetu kusoma kule unatudunisha zaidi machoni pao.
Rwanda is abandoning french to english kumaanisha wanaangalia soko.....sie hatuna mikakati
Tunahitaji kufanya maamuzi magumu na JK is good at dilly-dallying. This thing needs strong leadership, so better wait until we have one!
Its either wasubiri that we make up our mind or they move forward.