mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 6,499
- 18,166
- Kwa sababu ina toa maoni wasiopenda KUSIKIA watawala .
- Kuna uhuru wa kutoa maoni
- Kuna wa expose wafisadi na wabadhirifu.
- ..........ongezea
4. Kwa sababu kuna anonymity, watu hawajulikani na serikali inashindwa namna ya kuwafikia pale wanapotoa maoni au hoja ambazo zinakinzana na mitizamo yao.Nataka KUSIKIA kutoka kwa upande wako. Ni sababu gani zimepepekea serikali kuwa na chuki na hili jukwaa? Huenda sababu hizi zikasaidia pia kwa upande wa jamiiforum kunirekebisha.
- Kwa sababu ina toa maoni wasiopenda KUSIKIA watawala .
- Kuna uhuru wa kutoa maoni
- Kuna wa expose wafisadi na wabadhirifu.
- ..........ongezea
Vitasa vya uhakikaNataka KUSIKIA kutoka kwa upande wako. Ni sababu gani zimepepekea serikali kuwa na chuki na hili jukwaa? Huenda sababu hizi zikasaidia pia kwa upande wa jamiiforum kunirekebisha.
- Kwa sababu ina toa maoni wasiopenda KUSIKIA watawala .
- Kuna uhuru wa kutoa maoni
- Kuna wa expose wafisadi na wabadhirifu.
- ..........ongezea
Shida ni kwamba walioko huko serikalini huwa wanaamini wanaongoza watu hawana akili ya kuhoji madudu yao... Hapo naona ndio chuki huzaliwaSerikali inakimbizwa mchakachaka hata kama imechoka kukimbia tizi hilo, inabaki kuchukia bure wakati inasaidiwa kuona udhaifu wake
Hizi nyundo ulizo mkung'uta cha kurembua angalia usije ukawa MC (Msema Chochote) wa Segerea mkuu!Nataka KUSIKIA kutoka kwa upande wako. Ni sababu gani zimepepekea serikali kuwa na chuki na hili jukwaa? Huenda sababu hizi zikasaidia pia kwa upande wa jamiiforum kunirekebisha.
- Kwa sababu ina toa maoni wasiopenda KUSIKIA watawala .
- Kuna uhuru wa kutoa maoni
- Kuna wa expose wafisadi na wabadhirifu.
- ..........ongezea
Na ibakie hivi hivi kuna umuhimu wake kwa namna fulani ambao wengine hawauelewi4. Kwa sababu kuna anonymity, watu hawajulikani na serikali inashindwa namna ya kuwafikia pale wanapotoa maoni au hoja ambazo zinakinza na na mitizamo yao.
Tafadhali mkuu usiniitie maninjaSeran njoo umchukue mwenzio huku
sema nini serikal yenyewe ni yakipuuzi watawala ni mafala mbona kumpata mtu wa jf ni simpo tu kwa sisi wenye akili kubwa aka magritasinkinsi nchi inayoongozwa na wapumbavu kama chama cha mabogazi watu wake hawajawah kuwa na akili4. Kwa sababu kuna anonymity, watu hawajulikani na serikali inashindwa namna ya kuwafikia pale wanapotoa maoni au hoja ambazo zinakinza na na mitizamo yao.
Ndio ushangae na wewe kaka 😳Mbona hawafananiii🤣
😂😂😂Ndio ushangae na wewe kaka 😳
Hahaha basi sawaNimpeleke wapi?