Kwanini JF hamkopi kwenye App za mtandaoni?

Kwa hiyo unaumia watu wasipodownload hizo pesa mkuu. Huoni ni vizuri ukiwa unazidownload peke yako bila competition kuliko kualika maelfu ya watu watakaokuzuia kuwa tajiri?...

Endelea kudownload pesa mkuu, wengine ngoja tukamwage shati za mtumba mtongani pengine wanaotoka makazini watatuungisha mkuu
 
Nawashangaa sana. Kuna Hela Huku halafu nyie mmelala tu hadi mnataka kujiua sababu ya ugumu wa maisha.

Sajili Line Mpya kabisa kisha itumie ku download HelaView attachment 3326218View attachment 3326219
Umetumia muda gani kufanikisha jambo hilo?

Maana hao matapeli wanatajirika kwa kuuza app.

Ukidownload app ukaomba mkopo ukabhuma, hiyo app inakuwa imeexpire haiwezi ombea mkopo tena, hadi udownload upya app hiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…