Washamba ni wale wanaokenulia meno wezi (wa nje na wandani) huku nchi yao ikiliwa.
Mtoto wa mjini ni yule aliyeweza kuwaokoa watanzania kutoka kwenye utumwa wa kulipa capacity charge kwa muda mferu kwa kuwapiga chenga wezi (kujenga bwawa la umeme) walioweka mijira ya kinyonyaji (gesi). Wezi wanaweza kuendela kukaa na mabomba yao lakini watanzania hawata walipa hata senti moja.