X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,734
- 14,888
Wakuu,
Kwanza salamu ziwafikie,Mimi ni si mwenyeji humu JF nimekuwa nikitumia kama guest kwa muda kidogo.
Wakuu jambo linalonshangaza nimekuwa gumzo hapa mtaa kwetu baada ya kuamua kuachana na shule (secondary level) kwa kuwa sina mpango wa kuajiriwa na ni kama miaka sita au saba hadi kumaliza elimu yangu ukiangalia umri unaenda na nataka kuwa free na mishe zangu na skuli inabana sana muda.
So huku mtaa kila nikipita lecture hazishi mara oh utajutia, mara elimu haina mwisho n.k
Hivi wakuu kwanini hisia zetu zisiheshimiwe sisi tulioacha shule?
Na kwa nn uliacha?Wakuu,

Wisdom ni elimu iliyo juu zaidi ya elimu ya shule, nakupongeza kwa uamuzi wako kwangu nafahamu "ubaya" wa hii mifumo kuanzia elimu, afya, na mifumo mingi tu inayoendeshwa duniani naomba ufahamu mambo mawili makubwa kuhusu mifumo 1.Hamna mfumo unaoweza kusuite matakwa(interests) za kila mtu 2.Mifumo huwa compromised(hukorokochorewa).Mkuu asante kwa ushauri lakini najua kuna elimu tofauti na shule.
HOPE that's what's keeping you alive-day1IN day1OUT.Mkuu nna bznes yangu japo bado ni changa lkn nina hope nayo.
Kwanza hadi sasa naamini bado unaendelea kuenda shule.Wakuu,
Kwanza salamu ziwafikie,Mimi ni si mwenyeji humu JF nimekuwa nikitumia kama guest kwa muda kidogo.
Wakuu jambo linalonshangaza nimekuwa gumzo hapa mtaa kwetu baada ya kuamua kuachana na shule (secondary level) kwa kuwa sina mpango wa kuajiriwa na ni kama miaka sita au saba hadi kumaliza elimu yangu ukiangalia umri unaenda na nataka kuwa free na mishe zangu na skuli inabana sana muda.
So huku mtaa kila nikipita lecture hazishi mara oh utajutia, mara elimu haina mwisho n.k
Hivi wakuu kwanini hisia zetu zisiheshimiwe sisi tulioacha shule?
Kwanza nisamehe sana mkuu ila najua duniani tunaishi kwa kutegemeana hatuwezi kwenda shule wote we unadhani dunia ingekuwaje wote tukikimbialia shulen?tena wewe tunakuhesabia kama muhaini wa hii inchi...wewe ndio tunakutegemea ulikomboe taifa hili kupitia elimu utakayoipata wewe..na kizazi chako wewe unaacha shule? nchi hii ina uhaba wa wataalamu..mfano madaktari na wataalam mbalimbali we unakimbilia kuacha?....ningekujua ningekuzibua makofi
Wisdom ni elimu iliyo juu zaidi ya elimu ya shule, nakupongeza kwa uamuzi wako kwangu nafahamu "ubaya" wa hii mifumo kuanzia elimu, afya, na mifumo mingi tu inayoendeshwa duniani naomba ufahamu mambo mawili makubwa kuhusu mifumo 1.Hamna mfumo unaoweza kusuite matakwa(interests) za kila mtu 2.Mifumo huwa compromised(hukorokochorewa).
Kwa case yako vya kuzingatia ni kuwa hai, tengeneza hali nzuri kiuchumi-fedha huja kwa kutengeneza thamani yaani value na si kwa "masters", chagua muelekeo wako maishani what is it you want to accomplish in your life?, in fact sifahamu sababu za withdrawal yako kwenye mfumo wa elimu lakini nasupport na endapo ntafahamu sababu zako na malengo yako naweza nikajudge.School doesn't necessarily test your intelligence it tests your memory and the difference between school and life is that In school you are taught a lesson then given a
Thanks kwa ushaur mkuu but my career doesnt depend on schooling,i know what i want.
Ila inawezekana yupo sahihi.Kwa sababu unaweza ukaumiza ada halafu hamna chochote mathalani cheti huna na kichwani hamna kitu vilevile.Bora ada ikaokolewa mtu akajichanganya huko anapotaka kwenda lakini atakuwa ni mpumbavu wa kwanza kama itakuwa ni uasi tu ameamua kufanya.Elimu inamchango mkubwa sana hata katika maisha yako ya kila siku na si lazima uje kuajiriwa..Labda ukose hiyo fursa kwa bahati mbaya lakin kama kulikuwa na fursa ya kupiga book ukaacha tena katika ngazi ya Sekondary hata mimi nazidi kukushangaa kwa maamuzi hayo..