kwanini jamani wanaume mnafanya hivi???

kwanini jamani wanaume mnafanya hivi???

dears,mi swali langu ni kwa wanaume na kwa kina dada ambao huwa wanapata shida kama ninayoipata mimi kwa sasa na mara kibao imeshanitokea,unakuta mwanaume akiwa anakutongoza anakuwa yupo hewani muda wote,anapiga,anatext msgs,yani kwa kifupi communication inakuwa ipo juu....anaweza akafanya hvo hata miaka miwili na zaidi....cha kushangaza ni pale tu ambapo mwanamke utaamua kurespond kujibu na kumpigia yaani kumtafuta yeye,pozi zinaanza...unaweza ukamuandikia meseji ndefuuuu ..atakujibu poa...au k!!!!mara anamtext hareply chochote ukimuuliza eti yupo busy.......ukimpigia hapatikan mara simu ilikuwa mbali.....mi kwakweli huwa napata confusion na sijui kama inanitokea mimi tu au ni kawaida...na kama na wengine huwa inawatokea mi napenda nipate jibu kwa wanaume je...huwa shida inakuwa nn au ni nini hiki???huwa inakuwaje hadi inakuwa hvo..ni kwa upendo tu mtusaidie dada zenu,ukimuelimisha mwanamke umeelimisha jamii ,karibuni.
Mara nyingine vibomu vikizidi, mawasiliano hupungua.
 
changamoto zina miguu leo kwangu kesho kwako best

changamoto za kunijibu ok!!!
au sijui changamoto unazoziongelea wewe!!!!!!

I used to live that kind of life years sometimes
but for now Hell NO!!!!!!!!

Sometimes we as women make ourselves too available
and become needy,so dont complicate things my dia!!!!!!!!!
 
Saa inatembea kama ina betri mpya so mishe nazo inabidi kukimbizana nazo unamtafuta bibie kwa chaguo lako na mnakubaliana baada ya hapo anataka muendelee kama zamani,plastic life hii!!!

Hivi ukisha change hela bureau huwa unarudi tena au ndo unaenda kutumia fedha uliyohitaji!!!!!

Ukitaka muongee na mwanaume na asikuchoke kuwa industrious kwa mfano una kiwanja unataka akusaidie masuala ya ramani na kibali cha ujenzi hapo utampata all the times(kama kweli ni mwanaume lakini maana kuna old boys under our very same label ya MWANAUME)

Unanipigia simu kuniambia kuna mzigo mpya kwenye boutique na yule mzaire wa nywele karudi so huendi kwenye kucha na fundi wa nguo kakuboa bora ungevaa derah simple halafu huko harusini mi colour combo imetawala na kile kipindi cha wanawake na maendeleo leo utakimiss,unaniuliza niko wapi na nani nimevaaje ma ntarudi home saa ngapi kabla sijajibu unanieleza kesho unapenda nivae ile tie ulonoletea.,aaaaaaaargh yaaaaaani kama redio bovu

Hapo ndio jibu huwa.; Ok

its funny and well advised.thanx my dear nashukuru kwa ushauri.ni kuwasiliana kiutu uzima sio kitoto yan kishule shule
 
Mara nyingine vibomu vikizidi, mawasiliano hupungua.

nadhani hii itawasaidia akina dada wenzangu baadhi ...for me katika vitu ambavyo mungu ameniepusha ni kukaa na kuomba omba pesa au vitu kwa mwanaume..ni mzito na huwa sisikii vizuri napenda sana mtu anipe kwa ridhaa yake co nimuombe au nimuwekeee mazingira ya kunipa
 
changamoto za kunijibu ok!!!
au sijui changamoto unazoziongelea wewe!!!!!!

I used to live that kind of life years sometimes
but for now Hell NO!!!!!!!!

Sometimes we as women make ourselves too available
and become needy,so dont complicate things my dia!!!!!!!!!

ok dear,thanks
 
its funny and well advised.thanx my dear nashukuru kwa ushauri.ni kuwasiliana kiutu uzima sio kitoto yan kishule shule

yeah compose urself before a long call have a theme,call and present it for discussion

Kwa bedtime stories poa ila isiwe a baby class type such that a rabbit ate a lion in the jungle!!!!!!

Mawasiliano ndo mpango issue ni when,how,why,what for. ...
 
simple my dear, akiwa busy na wewe kuwa busy, dont call him, dont text him, halafu punguza story nyingi kwenye simu,

piga ukiwa na sababu ya kupiga, sio kwa sababu huna cha kufanya ndo umpigie
 
mi sidhani kama nnakuwa nimechokwa,kwa sababu mwingine hata kuonana unakuwa hujawahi kuonana nae....anakuwa anakutafuta sana pindi tu utakapo anza na ww kumtafuta anaaanza kama kukupush hvi na ukianza na we kumpush anajirudi..sasa mi nachanganyikiwa.

....aneakuwa na uhakika.....keshakunasa,,, so hahitaji long call or long text,,,,ila moyoni mwake umetawala,,,,usiangalie sana ya nje,,, nawe jiaminishe ni wako daima......
 
in conclusion nnaweza ku conclude hv.......nisisumbuke kumtafuta mwanaume nisubiri hadi nitakapotafutwa ....si ndio hvo na hata akinitafuta mimi ni kumjibu tu atakachoniuliza na si vinginevyo!!!!
 
simple my dear, akiwa busy na wewe kuwa busy, dont call him, dont text him, halafu punguza story nyingi kwenye simu,

piga ukiwa na sababu ya kupiga, sio kwa sababu huna cha kufanya ndo umpigie

i like your advice.....ni kweli nadhani hilo nalo ni tatizo langu ni mtu ambae ninapenda nikiwa na mtu concentration yake iwe kwangu na ninakuwa najisikia vizuri zaidi nikimsikia mara kwa mara ...kumbe nakuwa nakosea..nitajitahidi kubadilika kwakweli mbona mmenifaa sana siku ya leo kweli toa tatizo usaidiwe.
 
in conclusion nnaweza ku conclude hv.......nisisumbuke kumtafuta mwanaume nisubiri hadi nitakapotafutwa ....si ndio hvo na hata akinitafuta mimi ni kumjibu tu atakachoniuliza na si vinginevyo!!!!

Utajikondesha bure bibie,,,, kuwa kiuhalisia zaidi,,, kama raha yako ni kumtafuta,,, enedelea maana ndivyo ulivyo, ila kama unaekti,,, kumbuka movie zote zinamwisho....usibinafsishe nafsi yako.....
 
dears,mi swali langu ni kwa wanaume na kwa kina dada ambao huwa wanapata shida kama ninayoipata mimi kwa sasa na mara kibao imeshanitokea,unakuta mwanaume akiwa anakutongoza anakuwa yupo hewani muda wote,anapiga,anatext msgs,yani kwa kifupi communication inakuwa ipo juu....anaweza akafanya hvo hata miaka miwili na zaidi....cha kushangaza ni pale tu ambapo mwanamke utaamua kurespond kujibu na kumpigia yaani kumtafuta yeye,pozi zinaanza...unaweza ukamuandikia meseji ndefuuuu ..atakujibu poa...au k!!!!mara anamtext hareply chochote ukimuuliza eti yupo busy.......ukimpigia hapatikan mara simu ilikuwa mbali.....mi kwakweli huwa napata confusion na sijui kama inanitokea mimi tu au ni kawaida...na kama na wengine huwa inawatokea mi napenda nipate jibu kwa wanaume je...huwa shida inakuwa nn au ni nini hiki???huwa inakuwaje hadi inakuwa hvo..ni kwa upendo tu mtusaidie dada zenu,ukimuelimisha mwanamke umeelimisha jamii ,karibuni.

kama hilo ndo linalokusibu punguza speed ya mawasiliano halafu uone kama hajarespond kwa kuwa anakutafuta mara kwa mara. Hata kama unampenda sana jaribu kuzuia kihere here chako cha kuwa wa kwanza kumtafuta. Kasumba ya wanaume ni kutafuta wanawake na kuwatongoza + kuwabembeleza sasa akiona inakua tofauti anaanza kuwa na wsws kulikoni. Dawa piga pini na weka pozi atakuja mwenyewe.
Ni utamaduni wa Afrika mama, au we upo Ulaya?
Anza na hili halafu uje na majibu tukusaidie zaidi.
 
Utajikondesha bure bibie,,,, kuwa kiuhalisia zaidi,,, kama raha yako ni kumtafuta,,, enedelea maana ndivyo ulivyo, ila kama unaekti,,, kumbuka movie zote zinamwisho....usibinafsishe nafsi yako.....

ha ha ha!!!hilo nalo neno sasa nikiendelea kumtafuta si ntajikuta nimewafukuza sasa mwisho wa siku ntakosa mume au sio wote ambao hawapendi kutafitwa kuna wengine wanapenda so nnaweza nikabahatisha.
 
sidhani kwa sababu kuna mwingine anaanza ku push hata hamjakutana kimwili na ukianza nawe kumpotezea anarudi!!!

Dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaidi yake..!

Akiwa mapozi mara mbili wewe weka mapozi mara mia mbili..!

Mambo ya kuhangaika na mtu asiyeeleweka hayapo ulimwengu huu..
 
Mydia Naureen...
Nahisi unachokosea ni muda wa kumtafuta au kumpigia simu huyo Man wako, mtext asubuh, mpigie mchana kuuliza anaendeleaje na kama amekula, mtext pia usiku kuuliza ameshafika home na atalala saa ngapi..huko ndiko kupendwa, binafsi Nikipigiwa simu mida isiyoeleweka sipokei, nipo busy na kazi... Na utanilaumu?
 
i like your advice.....ni kweli nadhani hilo nalo ni tatizo langu ni mtu ambae ninapenda nikiwa na mtu concentration yake iwe kwangu na ninakuwa najisikia vizuri zaidi nikimsikia mara kwa mara ...kumbe nakuwa nakosea..nitajitahidi kubadilika kwakweli mbona mmenifaa sana siku ya leo kweli toa tatizo usaidiwe.

kaka zetu ndo wanapenda hivyo, yaani wewe jikaze tu thogh ni ngumu mwanzoni, ila utazoea na hawatakupa shida kabisa. kuwa ane kwa sababu unampenda ila mishe mishe mingine ya kwako endelea nayo kama kawa, utakuwa busy na shughuli zako na utashangaa atakavyoanza kukuganda,ukiwa available sana wanaaza kudhau ivi,
 
kama hilo ndo linalokusibu punguza speed ya mawasiliano halafu uone kama hajarespond kwa kuwa anakutafuta mara kwa mara. Hata kama unampenda sana jaribu kuzuia kihere here chako cha kuwa wa kwanza kumtafuta. Kasumba ya wanaume ni kutafuta wanawake na kuwatongoza + kuwabembeleza sasa akiona inakua tofauti anaanza kuwa na wsws kulikoni. Dawa piga pini na weka pozi atakuja mwenyewe.
Ni utamaduni wa Afrika mama, au we upo Ulaya?
Anza na hili halafu uje na majibu tukusaidie zaidi.

hapana npo tz,umenipa ujanja kwakweli ambao najua ulikuwa ndo challenge kwangu...mwanamke kutafutwa!!!
 
Back
Top Bottom