Kwanini iwe rangi hii na si nyingine?

nyamalagala

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
744
673
Wakuu amani iwe kwenu.
Nimekuwa nikijiuliza sababu za mabasi ya shule kuwa na rangi ya njano na si rangi nyingine lakini sijapata jibu kwani kila ninayemuuliza anashangaa kwanini iwe rangi hiyo tu.Wajuzi wa mambo tujuzane.

Kama ni utambulisho mbona kuna maandishi?.Kwakweli najiuliza mwanzo basi la shule lilikuwa na rangi gani na kwanini rangi ya njano iliamriwa kutumika na si nyeupe wala bluu.
Karibuni.
 
Ni standard kwenye mataifa mengi kwa sasa kama ilivyo rangi za magari mbalili ya dharura,na vingora tofauti tofauti
 
Kwan rangi nyinginezo hazionekani mkuu mpaka iwe njano

Ngoja nikuletee ubongo wa kuuliza swali juu ya swali.

Kwanini rangi ya taa za breki ya gari ni nyekundu?

Kwanini endiketa ni za orange(machungwa??)

Kwanini reflector zina rangi orange/kijani/njano?

Je unajua sayansi ya jicho la binadamu?( ama PRIMTES wote?)
 
Ni standard kwenye mataifa mengi kwa sasa kama ilivyo rangi za magari mbalili ya dharura,na vingora tofauti tofauti
Kama ni hivo naanza kuelewa.je kabla ya kuamriwa kutumia njano ni rangi gani ilikuwa ikitumika.
 
Scientists have found that people are able to see yellow objects in their peripheral field 1.24 times better than red. Unlike red, yellow is also more easily noticed in a dark environment.

This is one of the major reasons school bus yellow was chosen. The black lettering on yellow is the easiest color combinationfor drivers to see in the darkness of early morning when students are being picked up for school

Why Are School Buses Yellow?
Asante sana mkuu.
 
Kwa Maoni Yangu Unaweza jazia na wewe Mdau

1. Kutenganisha na public transport.
2. Elimu ina thaman kama madini yawakilishwavyo katika bendera ya taifa.
3. Pengine ni rangi elekezi ya serikali
4......???
FB_IMG_1585493713598.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom