Si uangalie TBC au StarTV kwani si ndio mlikuwa mnazifia sana juu ya zile habari zao za propaganda wakati ule wa kampeni sasa inakuwaje leo hii umehamia ITV?.
Hujalazimishwa kuangalia Itv...acha tv ya wanyonge tujionee uhalisia...hamna jema nyie,mvua kwenu ni jua na jua kwenu ni mvua....mlitaka tukose hata kituo chakutufariji manyang'..au nyie msio na upendo.
Huu ujinga wenu ndio maana Wachaga wamewafundisha adabu kwa vitendo mmekosa hata mbunge mmoja kwao na ni vyema mkazifunga ofisi za ccm kule na hawa kina Davis Mosha muwafukuze ccm maana ni mamluki tu wa Chadema.