Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
kiongozi unataka kuniambia yuko field?Sasa Atapata wapi uzoefu wa kureport vitu vikubwa?
Sijui kama yupo field lakini kiibua vipaji ni muhimu. Waswahili husema samaki mkunje angali mbichikiongozi unataka kuniambia yuko field?
Una sema ni mtoto kwakuwa hajaleta uchochezi na kuhoji unayopenda kuyasikia?Kwanza sina uhakika kama katimiza kisheria umri wa kuajiriwa(mtanisaidia hapa)lakini nakumbuka huyu mtoto alikua mwanafunzi sielewi ni lini kamaliza shule/chuo na kuanza kazi,nimekua nikikaona kana report mambo ya kipindi cha kipima joto ila siku zinavyozidi kwenda nazidi kumuona anareport vitu vikubwa(mahojiano)
kama mnavyojua mtoto ni mtoto yaani uwezo wa kazi aliyopewa hana
Ushauri-kama mmeamua itv kumuajiri huyu mtoto ni vema akaanza na vipindi vidogovidogo/kawaida hasa vya watoto mpaka akue kifikra na kimwili kwanza.
katavi unatumia king'amuzi gani?mtoto anababaika vileMbona anaripoti vizuri tu Na mahojiano kafanya vizuri tu. Tatizo ni aliyekuwa anahojiwa....!!!
katavi unatumia king'amuzi gani?mtoto anababaika vile
[emoji1] [emoji72] [emoji72]Una sema ni mtoto kwakuwa hajaleta uchochezi na kuhoji unayopenda kuyasikia?
Kijana ni makini sana na amehoji maswali vizuri sana!
Najua ulitaka amuulize lini na wao CCK watagomea uchaguzi au kujitoa.
labda MFOO SARO ni mJAMZITO NDIO MAANA DOGO KAPEWA KWA MDAKwanza sina uhakika kama katimiza kisheria umri wa kuajiriwa(mtanisaidia hapa)lakini nakumbuka huyu mtoto alikua mwanafunzi sielewi ni lini kamaliza shule/chuo na kuanza kazi,nimekua nikikaona kana report mambo ya kipindi cha kipima joto ila siku zinavyozidi kwenda nazidi kumuona anareport vitu vikubwa(mahojiano)
kama mnavyojua mtoto ni mtoto yaani uwezo wa kazi aliyopewa hana
Ushauri-kama mmeamua itv kumuajiri huyu mtoto ni vema akaanza na vipindi vidogovidogo/kawaida hasa vya watoto mpaka akue kifikra na kimwili kwanza.
We pia kumbe ni mtoto,nimuonee wivu kwa lipi fani yangu na yake vitu vinne tofauti,eti aache niende mimi we akili zako zime expire kwa mishahara gani ya meng?Acha wivu na dharau,yule sio mtoto maana unaweza kumpa mkeo au dadako na akamjaza mimba.
Au unataka yeye aache kutangaza ukachukue nafasi yake?
Tuwe tunahoji vitu serious japokuwa kila mtu ana uhuru wa kuhoji.
sawa vipi shule kaacha?mana kuna masha baada ya itvMbona anauwezo mzur tu kuwazd ata hao wakubwa nmeona mara nying akitangaza yuko vzur
Sina chuki na mtoto,ningemsema sam maela kidogo unaweza kuhisi ni chuki sio kwa kale katoto.Chuki binafsi, Barcelona yenyewe inasajili watoto sembuse ITV